Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Uwezekano mkubwa ni kuwa Lissu naye ameingizwa kingi kwa njia ya kuaminika sana. Kama umekuwa unafuatilia hili sakata utaona kuwa juzi walisema na waziri Mpango naye amepelekwa Nairobi. Hii yote ni kuifanya habari nzima ya kuugua ionekane ni uzandiki.
Fact.

Magufuli hajaonekana hadharani wiki ya pili.

Kwanini?
 
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.

Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Ufipa kwakweli mmepoteana dah!
 
Wazushi wote wachukuliwe hatua kali za kisheria ili iwe fundisho kwa wwngine.
TCRA mnajukumu la kufichua majina ya wle wote walio husika ktk uzushi huu
 
Kabisa mkuu,ile habari niliipuuza mapema asubuhi tu,kwanza mtu yupo ulaya halafu anasema rais wa tanzania haonekani,ki vipi? Pumbavu kabisa lissu
Mkuu,

Magufuli akifa leo, watu wakawa wanapiga hela kwa saini yake kwa wiki mbili, wewe utaona sawa?

Lissu kuwa Belgium si hoja, hoja ni Magufuli hajaonekana kwa wiki mbili.
 
Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe

Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Kuna wale wenye roho za kishetani wameumbuka Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ulitaka aje nyumbani kwako. Umeenda Ikulu ukamkosa? Akionekana sana kwenye TV mnalalamika akitulia Ikulu napo maneno. Hivi nyinyi wanyama wa Serengeti mtajitambua lini? Sasa mwambieni Balozi Lissu Amsterdam awape update za huko alikompeleka India/China?
 
Mkuu,

Magufuli akifa leo, watu wakawa wanapiga hela kwa saini yake kwa wiki mbili, wewe utaona sawa?

Lissu kuwa Belgium si hoja, hoja ni Magufuli hajaonekana kwa wiki mbili.
Una point ya msingi but Waziri Mkuu ameshatuambia yupo anapiga kazi.
 
Si baba yenu Balozi Lissu Amsterdam ameshawajulisha kuwa Rais amekimbizwa India/China?? Sasa unataka nini tena? Muulizeni updates Rais anaendeleaje??
 
Ulitaka aje nyumbani kwako. Umeenda Ikulu ukamkosa? Akionekana sana kwenye TV mnalalamika akitulia Ikulu napo maneno. Hivi nyinyi wanyama wa Serengeti mtajitambua lini? Sasa mwambieni Balozi Lissu Amsterdam awape update za huko alikompeleka India/China?
You are a foul fucktard, an ignoble imbecile and a calcified cretin.
 
Back
Top Bottom