Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Ushauri wako wa kiungwana sana. Nakupa kongole!
Majungu ya watanzania yako hivi, akionekana sana kwenye Tv na miradi mbalimbali wanasema kwanini Rais mzima anashinda anafanya kazi ambazo wasaidizi wake walitakiwa afanye?