lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ndg mm nimeyasoma hayo magazeti ya Kenya,wameandika kutokana na Hali ilivyokua kwao,sio kusikia kutoka Belgium.Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Tena hayo magazeti yameandika habari za wanachodai walichoshuhudia Kenya tu,habari za yaliyotokea Tanzania na sehemu nyingine hawakuandika.Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Iq yako ni hafifu sana kama hata ungehoji kwanini hata upelelezi haufanywi angalaoHiyo order unaweza iweka hapa? Unajuaje kama walioondoa kamera si watu wake Tundu
Tuwaombee tuu na kuwaelimisha, wanadamu wazito. Hata wayahudi waliwafanya Yesu na mitume wake hivyohivyo tena kwa kujidai kumbe hakuna walilolijuaKuna wale wenye roho za kishetani wameumbuka Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iq yangu hafifu, ila yako sifuri kabisa. Kilichomkimbizia ubelgiji asifuatilie kesi yake ni niniIq yako ni hafifu sana kama hata ungehoji kwanini hata upelelezi haufanywi angalao
Mkuu mbona Kama unaumia vile [emoji3][emoji3][emoji3]Na ikitangazwa kuwa amekufa wewe na PM wako tukafanye nini??yupo yupo wapi?? Majibu yenu ya kipuuzi huko huko lumumba kenge nyinyi
Una watoto?Dah! Hawezi kufa? Umejuaje kama bado kuna kazi hajamaliza?
Au wewe ni PA wa Mungu, umechungulia file la Magu ukaona kuna kazi bado hajamaliza.
Ebe chungulia na file langu, kama nimemaliza kazi niondoke zangu maana hii nchi siyo mahali salama pa kuishi sasa!
Nafikiri anajua aliko Kama mlivyoelezwaLisu hajaingizwa Chaka Mzee,Lisu kahoji you wapi jiwe?
Kwamba hajaonekana 2 wiks.na Leo Ni wiki ya tatu.
Je wewe umemwona Rais.
Lisu kahoji.
You wapi jiwe?
Hoja ya lisu haijajibiwa.
Wakubwa tu, na wanajitegemea hawahitaji msaada wangu tena.Una watoto?
Hi ni Kama mechi ya football,upande mmoja ulifungwa na Sasa umesawazisha,sasa tusubiri goli la ushindi,mechi bado inaendelea.time will tell.Bado amani haipo.... mzee anatakiwa aseme neno.
TL hakuoji tu, alisema pia alipo na akatoa update. If he was wrong atakuwa kajishushia heshima sana endapo raisi ni mzima.
Jina ganiHiyo mtu wenu alipewa jina jipya kipindi cha kampeni,si unalikumbuka linahusiana na mambo ya kuchoma mkaa
Basi tena, mpaka hapa ni kusubiria tu.Hi ni Kama mechi ya football,upande mmoja ulifungwa na Sasa umesawazisha,sasa tusubiri goli la ushindi,mechi bado inaendelea.time will tell.
Mke unaye?Wakubwa tu, na wanajitegemea hawahitaji msaada wangu tena.
Whatever the frequency, certainly at least fortnightly.Ni lazima aonekane hadharani kila baada ya muda gani kwani?
Naona una usingizi, pumzika tu mkuu.Mke unaye?
Sasa kama upepo tu unaleta taharuki nchini, kwa nini serikali inaachia uvume isiumalize?Na uzee wangu huu sijawahi kuona waganga njaa kwa jina la upinzani wamekaukiwa na tetesi....hebu fikiria upepo umeanzia Nairobi, India, Mloganzira na sasa utasikia, "wamechonga mwingine huyu wetu alitwaliwa mbinguni..."
Kama walivyofanya kwa Mpango.Sasa kama upepo tu unaletq tqhqruki nchini, kwa nini serikali inaachia uvume isiumalize?
Kwa nini inakuwa vigumu sana kumuonesha huyu hapa Magufuli haumwi, hao wazushi washushuke?
Sasa hiyo kazi ni ya Polisi na walisema wanamuhitaji Dereva Lissu akamleta... au hufuatilii Habari? Tafadhali usinipotezee usingizi wangu kwa ubishi wako usio na tijaIq yangu hafifu, ila yako sifuri kabisa. Kilichomkimbizia ubelgiji asifuatilie kesi yake ni nini
Usijali sana kuhusu mume wangu, nipo kazini night shift.Sasa hiyo kazi ni ya Polisi na walisema wanamuhitaji Dereva Lissu akamleta... au hufuatilii Habari? Tafadhali usinipotezee usingizi wangu kwa ubishi wako usio na tija
Muhudumie mumeo