lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ndg mm nimeyasoma hayo magazeti ya Kenya,wameandika kutokana na Hali ilivyokua kwao,sio kusikia kutoka Belgium.Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Maana hospitali ya Nairobi imetajwa Sana ktk sakata hili.source Ni za hukohuko.
Huyo wa Belgium inawezekana alikua anapata taarifa toka kenya.sio Kenya toka Belgium.
Kwa mfano tukio likitokea Muhimbili magazeti ya Tanzania yanaandika vizuri toka source za Muhimbili.
Yasome magazeti yapo mtandaoni bado.