Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Ndg mm nimeyasoma hayo magazeti ya Kenya,wameandika kutokana na Hali ilivyokua kwao,sio kusikia kutoka Belgium.
Maana hospitali ya Nairobi imetajwa Sana ktk sakata hili.source Ni za hukohuko.
Huyo wa Belgium inawezekana alikua anapata taarifa toka kenya.sio Kenya toka Belgium.
Kwa mfano tukio likitokea Muhimbili magazeti ya Tanzania yanaandika vizuri toka source za Muhimbili.
Yasome magazeti yapo mtandaoni bado.
 
Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Gazeti linaandika news kulingana na source. Sasa wamejitia kitanzi cha kumwamini Mr Mzungu ndipo balaa limeanzia hapo la kushindwa ^kuwaingiza chuo cha hakika^
Tena hayo magazeti yameandika habari za wanachodai walichoshuhudia Kenya tu,habari za yaliyotokea Tanzania na sehemu nyingine hawakuandika.
 
Dah! Hawezi kufa? Umejuaje kama bado kuna kazi hajamaliza?
Au wewe ni PA wa Mungu, umechungulia file la Magu ukaona kuna kazi bado hajamaliza.
Ebe chungulia na file langu, kama nimemaliza kazi niondoke zangu maana hii nchi siyo mahali salama pa kuishi sasa!
Una watoto?
 
Bado amani haipo.... mzee anatakiwa aseme neno.

TL hakuoji tu, alisema pia alipo na akatoa update. If he was wrong atakuwa kajishushia heshima sana endapo raisi ni mzima.
Hi ni Kama mechi ya football,upande mmoja ulifungwa na Sasa umesawazisha,sasa tusubiri goli la ushindi,mechi bado inaendelea.time will tell.
 
Ni lazima aonekane hadharani kila baada ya muda gani kwani?
Whatever the frequency, certainly at least fortnightly.

Else, the helm could be unmanned while the ship is facing headwinds, with a few apparatchik plundering bullion and nobody in the populace the wiser.
 
Na uzee wangu huu sijawahi kuona waganga njaa kwa jina la upinzani wamekaukiwa na tetesi....hebu fikiria upepo umeanzia Nairobi, India, Mloganzira na sasa utasikia, "wamechonga mwingine huyu wetu alitwaliwa mbinguni..."
Sasa kama upepo tu unaleta taharuki nchini, kwa nini serikali inaachia uvume isiumalize?

Kwa nini inakuwa vigumu sana kumuonesha huyu hapa Magufuli haumwi, hao wazushi washushuke?
 
Iq yangu hafifu, ila yako sifuri kabisa. Kilichomkimbizia ubelgiji asifuatilie kesi yake ni nini
Sasa hiyo kazi ni ya Polisi na walisema wanamuhitaji Dereva Lissu akamleta... au hufuatilii Habari? Tafadhali usinipotezee usingizi wangu kwa ubishi wako usio na tija
Muhudumie mumeo
 
Back
Top Bottom