Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Hata kama majaliwa alitaka kutuondolea hofu. but thatkind of lie was too much. Haya Sasa rumors has it he has passed away. How is going to stand before us? Does he have any expectations that people will believe anything coming from his mouth again?
Ni uongo tu.
 
Unawaza kama Mimi, yaani hili likitokea kweli PM atakuwa katika nafasi gani?
Siombei yatokee lakini PM kajiweka kwenye nafasi mbaya sana, labda kama ni kinyume chake.
 
Off course.
 
Jana nimeshangaa waziri mkuu anajiuliza kwanini watu wamtakie mtu kifo anasahau kwamba boss wake ni master kwenye field ya kutaka wengine wafe.
 
Unawaza kama Mimi, yaani hili likitokea kweli PM atakuwa katika nafasi gani?
Siombei yatokee lakini PM kajiweka kwenye nafasi mbaya sana, labda kama ni kinyume chake.
[emoji16][emoji16][emoji16]nyie watu mmeoza vichwa.

wa kuwa kwenye hali mbaya jpm tena!!!sio nyinyi wazushi??
mwenzako mletamada kinachomuuma ni hicho,kwamba sasa itakuwaje kama ni mzima wa afya??
 
[emoji16][emoji16][emoji16]nyie watu mmeoza vichwa.

wa kuwa kwenye hali mbaya jpm tena!!!sio nyinyi wazushi??
mwenzako mletamada kinachomuuma ni hicho,kwamba sasa itakuwaje kama ni mzima wa afya??
Sawa wewe mwenye kichwa kizima, lakini nakwambia dhahiri shahiri, Mungu hadhihakiwi.
 
Teacher ni wewe?
Uliadimika jaman
 
kumzushia mtu kifo sio dhihaka tu kwa Mungu,ni kukataa kabisa uwepo wake.
Mimi siko kwenye kuzusha, na kamwe sijawahi kumuombea yeyote mabaya. Hata mlipompiga risasi LISSU nilikuwa wa kwanza kuwakemea maana nilijua mnapanda mbegu mbaya sana nchini. Ninachosema na bado nakisimamia kuna vitu vya kuweka siri na visivyopaswa kuwekwa siri maana likija tofauti linakuwa na madhara makubwa kwa mficha siri.
 
uzushi pia ni jambo baya sana,hudhalilisha watu na kuwakosea wengine uaminifu.

kama umekuwa mtulivu,leo wanazusha amefia dsm wakati walisema amepelekwa india.

all in all Mungu ndiye anaona ulicho nacho moyoni.
 
Nimekuwa nikisema mara kwa mara, upande unaotawala unaigawa nchi. Na bado nitasimama ni hoja yengu, Haki isiposimama katika nchi chuki hutamalaki. Huwezi kujenga nchi huku wananchi wamegawanywa kiasi hiki na uhasama ndio ibada yao.
 
Rais angetoka tu ofisini kwake kwa break ya dakika 5 tumuone ili tumalize hizi rumours. Kwani akitoka nje dakika tano tu za pumziko kutoka kazi itagharimu kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…