Mkuu, kazi ya Rais si kujibu tetesi za mitandaoni ni kweli.Mfano kesho akijitokeza alafu baada ya wiki Pierelikwidi akazusha tena ajitokeze tu?? Let's be fair!
Nimesoma vyombo vyote vya kimataifa vilivyoripoti hii habari wame quote taarifa ya Lissu au opposition in general!
Ila mimi na wewe pia hatujui kama hizo tetesi si za kweli sababu tunarely kwa PM na PM anawezapewa maagizo kutuliza tension bila kujua kinachoendelea.
Utlist hata angekua samia. Kama unajua chain of command inavyoenda utanielewa. Suluhisho sahihi ni JPM ajitokeze, chuma kiongee.
Hata hivyo natamani sanaaaaa na naombea unalolisema liwe sahihi. JPM akitokea hawa wazushi washambuliwe.