Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Mfano kesho akijitokeza alafu baada ya wiki Pierelikwidi akazusha tena ajitokeze tu?? Let's be fair!

Nimesoma vyombo vyote vya kimataifa vilivyoripoti hii habari wame quote taarifa ya Lissu au opposition in general!
Mkuu, kazi ya Rais si kujibu tetesi za mitandaoni ni kweli.

Ila mimi na wewe pia hatujui kama hizo tetesi si za kweli sababu tunarely kwa PM na PM anawezapewa maagizo kutuliza tension bila kujua kinachoendelea.

Utlist hata angekua samia. Kama unajua chain of command inavyoenda utanielewa. Suluhisho sahihi ni JPM ajitokeze, chuma kiongee.


Hata hivyo natamani sanaaaaa na naombea unalolisema liwe sahihi. JPM akitokea hawa wazushi washambuliwe.
 
[It means umezua uzushi ambao umesimamisha shughuli zako unataka mwingine aje kukukwamua?
 
Hapa ilipofikia si pa kubishana tena unless wewe ndiye JPM.

Japo itapendeza sana huu ukiwa ni uzushi ila kwa hapa huu uzushi ulipofikia ni kusubiri JPM atokee hadharani au kujiandaa kisaikolojia.

Kubisha tu huku hata ww hujamuona akiwa mzima ni utoto.
Kwani ni mara ya kwanza kuzushiwa!???
 
Ni sahihi taarifa za leo na watoa taarifa waziri mkuu na rc lugha yao ya mwili inatoa taarifa nyingine kabisa
Because kumzushia Mkuu wa Nchi kifo hivyo siyo jambo dogo. By the way, hiyo ni treason.
 
Kwanini uamini hapa ndio penyewe? Unatishwa na maneno? Majaliwa ambaye ndio waziri mkuu kasema Rais yupo sawa! Sio tu mgonjwa yupo sawa! Unataka kipi cha ziada?
Hivi serikali híi walivyo waongo unaanzaje kuwaamini. Kila siku tunahubiriwa kuwa miladi inafanyika kwa mapato ya ndani cha ajabu deni la Taifa linapanda kila dakika. Bado unawaamini?
 
Wewe jamaa huwa unajiona una akili Sana lkn sivyo.
Na kwa komenti hi ndio kabisa nimejua wewe Ni empty head...
Atakuwa anajitokeza mara ngapi maana uzushi kwa wengine ni kama uji na mgonjwa, yaani kila tetesi za Chahali anajitokeza...., Tetesi za Mange anajitokeza, tetesi za Kigogo anajitokeza kukanusha, tetesi za Lissu Mr. Mzungu anajitokeza kukanusha, Robert Amsterdam, Mnyika, Maria Sarungi, .....wewe!
 
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.

Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Hajui chochote......trust me
 
Atakuwa anajitokeza mara ngapi maana uzushi kwa wengine ni kama uji na mgonjwa, yaani kila tetesi za Chahali anajitokeza...., Tetesi za Mange anajitokeza, tetesi za Kigogo anajitokeza kukanusha, tetesi za Lissu Mr. Mzungu anajitokeza kukanusha, Robert Amsterdam, Mnyika, Maria Sarungi, .....wewe!
Kazi za rais za kila siku ni kujitokeza, wala hahitaji kumjibu mtu.

Akifanya ziara kajitokeza.

Akihutubia kajitokeza.

Akiapisha mtu kajitokeza.

Akipokea wageni Ikulu, kajitokeza.

Akihudhuria vikao, kajitokeza.

Sasa huyu rais asiyeonekana wiki mbili anafanya kazi gani?

Huyo ni rais au mwali amewekwa ndani anasubiri kuchezwa ngoma?

Wewe huoni rais kukaa haonekani wiki nenda wiki rudi kuna kitu kinafichwa hapo?
 
Mabibi na mabwana hakuna kilichokuwa bora kuliko ukweli. Pia ni sahihi kuwa hakuna kilichokuwa fyongo kama uongo.

Kama mtu mzima haipendezi hata kidogo kuwa mwongo kama isivyopendeza kudanganywa.

Tufike mahali kila mtu na awajibishwe sawia na kauli zake bila ya kujali wala kuangalia makunyanzi yake.

Haipo sababu yoyote nzuri ya kuwa mwongo. Uongo hauna nafasi popote pale.

Hatuwezi kuendelea kuwa watu wa kudanganyana au kupotoshana kama watoto wadogo hadi Yesu Kristo atakapo rudi.

Hivi ile miiko ya kuwa: "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" aliondoka nayo Mwalimu (rip).

Tuwe tayari kumwajibisha yeyote kwa uongo wake siku yoyote huo ukibainika.

Miiko huzingatiwa.

Ninawasilisha
 
Back
Top Bottom