Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Sawa mwana familia
Yupo wapi?
Hata mimi nashangaaSio mchezo, huyo Chahali anasemajr taarifa kama hiyo?
Anasemaje JescaKuna ndugu wa karibu kaongea na mmoja wa watoto wake... ( jesca).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yeye anafanya mambo kwa staili ya aina yake, siyo kama waleHapendi show off kama alikiba
Mimi sio mwanafamilia, lakini wapo watu ambao ni wanafamilia, nina ukaribu nao. (kibarua wao)Sawa mwana familia
From today - tomorrowhow long that soon will take
Wewe ni MJINGA Rais ni Mali ya Nchi sio kikundi cha watu hapo Lumumba...anaendesha maisha yake kwa Kodi zetu ni Amir Jeshi mkuu lazima tujue alipo kama Mgonjwa hawezi kuendelea na kazi akae pembeniKwa hiyo wafanye hivyo kwa sababu mitandaoni watu wanasema haya!?
Aaah wapi
Ikulu imefanya hivyo kwa kusudi maalumu.Jambo jema kama ni mzima. Lakini mbona wameachia hizi romours kwa muda mrefu hivyo bila kuzikanusha kama hivi?
Ila nimesikia DIGADIBO wa kule kwenye mlima kaingizwa MBOCHI kimyakimya NICHI ya DHIRAKama Rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?
Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?
Unajua hilo!Umenisingizia...
Ili ipate nini, kuna mapato yanaongezeka?ikulu imefanya hivyo kwa kusudi maalumu.
Kasemaje jessyKuna ndugu wa karibu kaongea na mmoja wa watoto wake... ( jesca).
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini ninachokuambia.aaah wapi
Najua kwamba umenisingiziaUnajua hilo!
Mambo ya ki-intelligensia hayo! Nadhani watakuwa wameshapata picha.ili ipate nini,kuna mapato yanaongezeka?