Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Kama Rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?

Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?
Ila nimesikia DIGADIBO wa kule kwenye mlima kaingizwa MBOCHI kimyakimya NICHI ya DHIRA
 
Back
Top Bottom