Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe

Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Amen 🙏
 
Lissu hajaingizwa chaka Mzee, Lissu kahoji yu wapi jiwe?
Kwamba hajaonekana 2 weeks. Na leo ni wiki ya tatu.
AJe wewe umemuona Rais?id!
Tangu waziri mkuu aliposema neno kuhusu hizi tetesi, Lissu kimyaa utafikiri hazungumzagi, kulikoni??
 
Tuko tunafanya assessment huku mitandaoni.

Kuangalia kwa asilimia ngapi watanzania wanapenda kusikia taarifa mbaya za Rais wao na ngapi wako neutral.

Wangapi wako positive na President.

Assessment bado inaendelea.

Huyu Waziri MKUU
Huyu Balozi
Huyu RC

Ni catalysts tu kwenye hii assessment....kama kachumbari wananogesha assessment yetu.

Kazi inaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…