Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafiki mnatuharibia dunia unajua!Najua kwamba umenisingizia
Leo ameshatumbua Mkurugenzi huko Musoma utakufa na stress tu dada!!Apige kazi [emoji16][emoji16][emoji16]labda akapige kazi kuzimu huko na malaika wenzake
Alivyo mjanja utateua katibu + mwenezi wa CCM then kesho anawaapishaLeo ameshatumbua Mkurugenzi huko Musoma utakufa na stress tu dada!!
Siku zote anapotenguaga huteua mwingine palepale na hutangaza siku ya kuapisha!Aliwaambia anaendelea na kazi angalia hapa chini kazi aliyoifanya leo.
View attachment 1724462
Hahahahaaa tuupe muda na nafasi na tumuombee mkuu wetu apone.Aliwaambia anaendelea na kazi angalia hapa chini kazi aliyoifanya leo.
View attachment 1724462
Vipi ni ya kweli chiefAliwaambia anaendelea na kazi angalia hapa chini kazi aliyoifanya leo.
View attachment 1724462
Ndio naniii nchii hii sasaMmekiona alichoandika Everst chachali
Mbona wa Kinondoni hakutangazwa hapo hapo?Siku zote anapotenguaga huteua mwingine palepale na hutangaza siku ya kuapisha!
Hiyo barua mbona ina walakini!
HayaHuu waraka fake
Nimeiona sehemuVipi ni ya kweli chief
😂😂😂😂 Aiseee!Jana nimeona comment mtu anasema aingie insta live😂😂
Kiduku alipotea miezi tisa, umesahau!??? People wakasema -- kama kawaida yao -- his sister ndiye yuko in charge. But where!???Hivi wewe unaelewa mjadala unahusu nini? Rais kupotea kwa wiki mbili ni jambo la kawaida? Tumia common sense hata kama ni ushabiki. Kitendo cha rais kutoonekana kwa wiki mbili hata kama ni mzima na anafanya kazi kinaonyesha utawala huu ulivyojaa watu wa hovyo
Mkuu jaribu basi kutomlipa mshahara mwezi mmoja tuone nguvu yako mwajiri.Mimi kama ninayemlipa mshahara naomba ajitokeze
At least umeafiki hoja alakidi (basic arguement) ya kwanza. You have shown some sensible, mature, reasonable intelligence. I am suspecting you might be better than all the company you keep combined. Good for you 🙂Na kuua mtu?
Kama kweli unamlipa mshahara si uache kumlipa sasa?Mimi kama ninayemlipa mshahara naomba ajitokeze