Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

unakosea sana, wachunga ngombe kupewa nchi! unamaanisha nini eti.
Kuna watu wanadhani tunamaanisha watu wanaotoka kwenye makabila ya wachunga ngombe au pengine wasukuma. Hata kidogo. Kwenye makabila yenye watu waungwana na wacheshi basi wasukuma ni miongoni mwao. Halafu ni wakarimu sana. Wachunga ng'ombe (usisahu kuweka hiyo alama ' kwenye neno ng'ombe) tunamaanisha watu wasiyo na exposure ya uongozi wametoka. Wamekulia na mindset zao ni za huko swekeni kusiko na ustaarabu. Ni kama mchaga anavyoweza kusemwa ni wa migombani
 
Yaani jamaa anaongea uongo mbele ya waumini. Tena ndani ya nyumba ya ibaada. Hapo ndio ujue viongozi wa awamu ya tano wamepinda. Kajisahau muda mfupi uliopita katoka kuomba msamaha wa dhambi. Haijapita nusu saa anaongea uongo. Sijui kwa faida ya nani.
 
Back
Top Bottom