Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hongera... maana ID FAKE, hatujuani,Wanaachaje kudhania hivyo wakati kuna mtu kama wewe unazurura tu huku badala ya kuwa huko waliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera... maana ID FAKE, hatujuani,Wanaachaje kudhania hivyo wakati kuna mtu kama wewe unazurura tu huku badala ya kuwa huko waliko.
Wanawake wanaweza kuwa viongozi wazuri sana. Mimi sina shida na hilo hata kidogo. Lakini kwa huyu mama mh! Anaweza kuwa kiongozi mbaya kuliko Magufuli. Labda kitachachobadilika ni ukatili. Hailekei kuwa katili au kuminya demokrasia kama Magufuli lakini in terms of vision etc... mh. Sijui lakini. BTW haya ''mazungumzo baada ya habari'' tu kwani sidhani kama jamaa kafa kama wanavyosema.Sauti ya ushamba? Sijui kama mama huyu anafaa, lakini kwa jumla nchi zilizoongozwa na wanawake waliendeea vizuri. Kumbuka Merkel-Ujerumani, Fernández de Kirchner - Argentina,
Sheikh Hasina- Bangladesh, Erna Solberg-Norway
na wa zamani Rose Christiane Raponda- Gabon, Indira Gandhi-India, Golda Meir-Israel, Ellen Johnson Sirleaf-Liberia, Thatcher-Uingereza
Hii ni mifano michache tu!
Kuna tatizo gani kuhusu wanawake?
Unapoelekea utasema nchi nzima hamna umeme!See!?? You're asking a totally awkward question. Tatizo la umeme lilikuwepo ama halikuwepo!??? Laptop zinatumia umeme au hazitumii!??? If the goverment had donated the promised laptops -- ukweli si uongo -- dunia nzima ingeshangaa & kustaajabu sana kupita maelezo!!! Hata doktaz wanajua first priority ya tiba lazima anapewa mgonjwa wa figo ama ini kuliko mgonjwa aliyechubuka mguu kwa ajali. Umeelewa, ama niongeze volume kidogo!???
Treason kwa sheria ipi sasa. Kama haumwi na hajafa si ajitokeze. Ateuwe na kuapisha mtu mara moja tu wazushi wote chali !! Nini kinashindikanaBecause kumzushia Mkuu wa Nchi kifo hivyo siyo jambo dogo. By the way, hiyo ni treason.
TrinidadWapi tena DRC au
We mwehu kweli kweli mkuu,samia hujamwona juzi kwenye tamasha la siku ya wamama Duniani???
Si watakuwa Magogoni au chamwino au na huko hawamo?
Na siku salamu za rambirambi zikianza kutumwa toka nchi mbalimbali uje kuandika tena huu utumboRais ni taasisi ni mkuu wa nchi na serikali, kuna watu inabidi tuwafunde kidogo wajue kumtofautisha rais na magufuli..ukiona shughuli za serikali zinaendelea ujue Rais yupo na yuko kazini..sasa hawa vinyang'aragata wanaohoji ujinga na uzushi wanaoneza ramli kuhusu afya ya rais ni wazandiki wapuuzwe...unahoji jpm alipo wewe ni jesca?
Unataka kujua yuko wapi wewe ni janeth? Naye kama binadam anapaswa kuwa na faragha kidogo ale harua anywe kahawa,apumzike na watoto na wajukuu bila makamera yenu sasa mnaomzushia ugonjwa ugueni nyie na mnaomwombea afe mfe nyie.
Mwambie pia kesho kutwa J4 ya tar 16 yupo ziarani..ratiba tayariWe mwehu kweli kweli mkuu,samia hujamwona juzi kwenye tamasha la siku ya wamama Duniani???
Hakuna watu wasio na soni kama Wana Lumumba. Wanajua namna ya kubadili gia angani. Leo wanaweza kuongea hivi kesho wakabadili kama sio wao. Rejea: Maalim Seif kipindi cha kampeni na baadae alipoukwaa umakamu wa Rais!Na siku salamu za rambirambi zikianza kutumwa toka nchi mbalimbali uje kuandika tena huu utumbo