Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Binafsi sikumuelewa Majaaliwa wa jana, sura matendo na kauli zake hazikuwa na ushirikiano ila inawezekana hali hiyo ilisababishwa na kujibizana na mitandao, tusubiri tuipe muda nafasi.
 
Kama ni mzima asitoke aongee tu? Shida nini? Huwa mnasema Maghu ni Raisi wa wanyonge, sasa wanyonge wakitaka kujua kipenzi chao kiko wapi, mnajisikia vibaya, hii ajabu sana, kama jitu limezidiwa semeni tu!
 
Kiduku alipotea miezi tisa, umesahau!??? People wakasema -- kama kawaida yao -- his sister ndiye yuko in charge. But where!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…