Kwani kifo ni ushetani ama ni adhabu?Hata kama mtu unamchukia kikubwa lakini kumvumishia kifo ni ushetani kabisa. Tena Rais wa nchi? Tuwe waungwana.
Inategemea na alichokufanyia.Hata kama mtu unamchukia kikubwa lakini kumvumishia kifo ni ushetani kabisa. Tena Rais wa nchi? Tuwe waungwana.
Ndugu yangu kaa kimya acha kuwasaidia wajinga. Kuna watu wanajitabiria vifo vyao wao wenyewe na vitatokea muda siyo mrefu. Kaa kimya, waacheHata kama mtu unamchukia kikubwa lakini kumvumishia kifo ni ushetani kabisa. Tena Rais wa nchi? Tuwe waungwana.
Zenu nani? Mimi nimekupa taarifa tu.Duuu. What???
Aisee. Naona Mimi niko nje ya media. Mtu unathubutuje kuandika hizi propaganda? Kwa hiyo wakae na maiti mpaka leo Jumatatu 15 March? Aibu zenu
Duuu. What???
Ulimpigia kura wewe?Kiukweli nimem-miss sana rais wangu kipenzi tafadhari jitokeze mioyo yetu itulie mpendwa.
Kama anachukiwa huwezi kumzungumzia kiasi hicho huyu ni kipenzi cha watu ndiyo maana wapinzani wanahaha tena walikuwaga wanajifanya eti hawamtambui leo hii wanamuita Rais wetu yuko wapi yaani wamemkubaliUkiona mtu anazungumziwa sana jua kuna mawili
Anapendwa sana au anachukiwa sana....
Je unayemzungumzia anaangukia kwenye kundi gani?
Tatizo mnakiherehere sana, Rais wetu mpendwa ni mzima hana tatizo kama viongozi wanavyosema sasa nyinyi mnataka taarifa kutoka kwa nani hebu sema wewe unataka nani atokee akuambie?Watu wanachotaka kujua ni kitu kimoja tu! Yuko wapi? Na kama anaumwa, dhambi iko wapi Watanzania na dunia ikifahamu jambo hilo?
Kwani siku zote ni nani aliyekuwa akimsemea? Si ni yeye mwenyewe!! Kama hao wapinzani wanasema uongo, si ajitokeze basi akiwa ni mzima wa afya ili wapatwe na aibu?tatizo mnakiherehere sana rais wetu mpendwa ni mzima hana tatizo kama viongozi wanavyosema sasa nyinyi mnataka taarifa kutoka kwa nani hebu sema wewe unataka nani atokee akuambie?
Hivi hata wewe ukiamua kupumzika, hutaki mawasiliano na mtu kwa uamuzi wako mwenyewe majukumu ukawaachia wasaidizi wako nani atakutafuta, acheni kiherehere yaani mnakuja kuumbuka vibaya nyau nyie.Kwani siku zote ni nani aliyekuwa akimsemea? Si ni yeye mwenyewe!! Kama hao wapinzani wanasema uongo, si ajitokeze basi akiwa ni mzima wa afya ili wapatwe na aibu?
Lakini kwa aina hii ya ukimya, iwapo atajitokeza baada ya wiki 3, watu wataamini kile kilichosemwa na wapinzani. Na kama kweli haumwi, kwanini wananchi wanao hoji wakamatwe?