Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Kwani kifo ni ushetani ama ni adhabu?Hata kama mtu unamchukia kikubwa lakini kumvumishia kifo ni ushetani kabisa. Tena Rais wa nchi? Tuwe waungwana.
Binadamu tuliopo hapa Duniani lazima tutafariki Dunia.
Kwenye sala zangu kila siku namwomba Mungu anipe maisha marefu hapa Duniani hadi uzeeni nikiwa na nguvu zangu, siku yangu ikifika anipe kifo chema na roho yangu aipumzishe mahala pema peponi Mbinguni.
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app