Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"

Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia

Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini

Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.

Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.

Hivi siku ikajulikana Hana afya njema na wala hachapi kazi, huyu Majaliwa ataweka wapi sura yake?
 
hivi hata wewe ukiamua kupumzika hutaki mawasiliano na mtu kwa uamuzi wako mwenyewe majukumu ukawaachia wasaidizi wako nani atakutafuta acheni kiherehere yaani mnakuja kuumbuka vibaya nyau nyie
Rais ni Mtumishi wa umma! Hayo mamlaka ya kujiamulia tu kupumzika anayatoa wapi? Likizo kwa watumishi wote wa umma ni siku 28 tu kila mwaka! Na Rais amekuwa akizitumia hizo siku zake kwa mapumziko kule Chato, nk

Sasa wewe unakuja kutetea kitu ambacho hata hukielewi! Kama anaumwa, tumbiwe tu ukweli maana hakuna kitakachoharibika! Ila hii hali ya kuendelea kuficha ficha vitu, mtakuja kuumbuka tu, siku si nyingi.
 
Rais ni Mtumishi wa umma! Hayo mamlaka ya kujiamulia tu kupumzika anayatoa wapi? Likizo kwa watumishi wote wa umma ni siku 28 tu kila mwaka! Na Rais amekuwa akizitumia hizo siku zake kwa mapumziko kule Chato, nk

Sasa wewe unakuja kutetea kitu ambacho hata hukielewi! Kama anaumwa, tumbiwe tu ukweli maana hakuna kitakacho haribika! Ila hii hali ya kuendelea kuficha ficha vitu,mtakuja kuumbuka tu, siku si nyingi.
Mnaumbuka muda si mrefu, sasa ushasema likizo au mapumziko siku 28 sasa hata 20 hazijafika unakuja kuharisha hapa hayo ni mahaba mazito mliyonayo wapinzani kwa JPM.
 
Hv jamaa wakat unandika huu UZI hukuwekewa bastola kichwan kwel?
Niwekewe bastola ili kunilazimisha nini naonyesha tu jinsi mlivyo na mahaba na mtukufu Rais JPM mlijifanya kumkataa leo hii mnatamka wazi rais wetu yuko wapi yaani aisee mnaona hata aibu lakini mlivyokuwa mnamkataa mwanzo
 
kama anachukiwa huwezi kumzungumzia iasi hicho huyu ni kipenzi cha watu ndiyo maana wapinzani wana haha tena walikuwaga wanajifanya eti hawamtambui leo hii wanamuita rais wetu yuko wapi yaani wamemkubali
Sijui kama unajua maana ya "satire" au "kejeli"
Ungekuwa unajuwa usinge andika huo upuuzi
 
Hivi mtu asipoonekana maana yake anaumwa.

Katiba inasema rais aonekane Mara ngapi kwenye public au apige Simu redioni Mara ngapi ili muda ukipita tuanze kumtafuta na kutaka aonekane?
 
Watu wanachosubiri kusikia hakipo kwa wema. Lait presida kesho akatokea hadharani basi wanaouliza hawatafarijika kama ikipigwa parapanda.

So kinachoendelea ni kejeli na unafiki. Huku moyoni watu wakitamani asirudi Jumla.

Alisikika muuza Kibua akisema.
 
Watu wanachosubiri kusikia hakipo kwa wema,,, Lait presida kesho akatokea hadharani basi wanaouliza hawatafarijika kama ikipigwa parapanda...


So kinachoendelea ni kejeli na unafiki... Huku moyoni watu wakitamani asirudi Jumla...

Alisikika muuza Kibua akisema.
Namba moja ni Madelu system Yule kijana ni nyoka Magufuli akiendelea kumkumbatia atavuna mabua.
 
wana jf ukifuatilia mitandao ya kijamii kwa sasa issue kubwa ni juu ya mpendwa wetu jpm lakini nimekuja kugundua kuwa wapinzani hapa nchini wanampenda zaidi raisi wetu maana hawalali wanakesha kusikiliza atazungumza muda gani , niwatoe hofu tu kwambakama mama yetu samia na waziri mkuu walivtotuambia mpendwa wetu yupo salama na tusiwenahofu ambayo wappinzani kwa upendowao kwa rais mengine wanazushayakipuuzi

nawasilisha
Kweli kabisa aiseeee!!
 
Back
Top Bottom