Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Na raia waliouambia umma ukweli kuwa Rais anaumwa wakakamatwa na kuswekwa ndani. Aliyedanganya yupo uraiani anapeta, na waliosema ukweli wapo nyuma ya nondo. Kama walikufichia maradhi ungejitokeza hata wewe mwenyewe hadharani uombe msamaha.

Kwa uliowakosea(binadamu kukosea kawaida) na useme taifa likuombe japo uwe na mwisho mwema kwakua uliamini sana katika maombi na kila mara ulisisitiza taifa likuombee. RIP JPM.
 
Jana usiku mama Suluhu Hassan alitangaza msiba kwa maikitiko makubwa na kuueleza uma kuwa Mh. Alilazwa tangu tar.6 ila mh. Majaliwa aliuambia umma tar 12 kuwa Mh. yupo ofisin anachapa kazi.

Wakati mwngine tunashindwa kuaminiana kwa maneno yanayotolewa na viongoz wetu.

It's time to wakeup
Ukimsikiliza vizuri, kasema alilazwa tarehe 6 na kesho yake tarehe 7 aliruhusiwa(hospital ya moyo ya Muhimbili). Na tarehe 14 alizidiwa tena na kupekwa Mzena hospital hadi mauti unamkuta.
 
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.

Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Aisee
 
Mzee tumia akili kidogo tu. Mtu anaumwa kwa sababu twita imesema au kwa sababu hajaonekana hadharani?

Kesho tukiambiwa twitani nchi imeuzwa utaanza kuandamana unataka mgao.

Tuliza boli piga kazi, tuache Majungu na kuishi kwa hisia.

Ukweli unahitaji mtu mwenye subira sio mwepesi kuhemshwa na soga za mitandaoni
Twitani
 
Back
Top Bottom