Alidekyi
Member
- Sep 7, 2020
- 47
- 69
Jamani hii Mzena ni hospital ya serikali ama binafsi?Naam Mzena Hospital
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hii Mzena ni hospital ya serikali ama binafsi?Naam Mzena Hospital
Muwe mnaweka akina ya manenokweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Nasikia ipo chini ya TISS, inahudumia viongozi wa juu na Idara hiyo.Jamani hii Mzena ni hospital ya serikali ama binafsi?
Maana ingekuwa Lugalo ama Muhimbili tusingesumbuka. Sasa sikuwahi kuisikia before.Nasikia ipo chini ya TISS, inahudumia viongozi wa juu na Idara hiyo.
Mimi mwenyewe nimeisikia kwa mara kwanza usiku baada ya taarifa ya kifo. Mwanzoni sikuwahi kuisikia kabisaMaana ingekuwa lugalo ama muhimbili tusingesumbuka Sasa sikuwahi kuisikia before
Kumbe wamejipanga sana wakuuMimi mwenyewe nimeisikia kwa mara kwanza usiku baada ya taarifa ya kifo. Mwanzoni sikuwahi kuisikia kabisa
Ni aibu sana.Wanaotudanganya kama hawa ndiyo wanaenda kuwa viongozi wetu!WTF!Tanzania tuna laana gani hata tunapata masahibu yote haya?!
Nakuhakikishia hapa kama hawatapiga U-turn ya haraka kuhusu kushughulikia Tatizo la Corona ni wanaenda kuisha wote!Ni aibu sana.
Yaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale Kijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tanzania, hii maana yake ni nini?Ukimsikiliza vizuri,kasema alilazwa tarehe 6 na kesho yake tarehe 7 aliruhusiwa(hospital ya moyo ya Muhimbili).Na tarehe 14 alizidiwa tena na kupekwa mzena hospital hadi mauti unamkuta.
Unaweza kuamini porojo zao, hivi kweli angeruhusiwa na akawa mzima, angeomba press kama ya Filipo, kudhihirisha yupo fit!Ukimsikiliza vizuri,kasema alilazwa tarehe 6 na kesho yake tarehe 7 aliruhusiwa(hospital ya moyo ya Muhimbili).Na tarehe 14 alizidiwa tena na kupekwa mzena hospital hadi mauti unamkuta.
Nadhani ni hospitali mpya hii, ilijengwa mwaka jana..Mimi mwenyewe nimeisikia kwa mara kwanza usiku baada ya taarifa ya kifo. Mwanzoni sikuwahi kuisikia kabisa
Hata Mkapa alipelekwa hapo, ni hospital nzuri tuYaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale hiKijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tz, hii maana yake ni nini?
Hapa inabidi tukubaliane jambo moja.
1. Hii story mama Samia na wasaidizi wake wameitengeneza Au
2. Ni uzembe wa hali ya juu sana umefanyika kiasi cha kupelekea kifo cha rais wetu mpendwa.
Ni ya Zamani, kuna uzi wake humu unaelezea hiyo HospitaliNadhani ni hospitali mpya hii,ilijengwa mwaka jana..
Hawa viongozi, PM na VP, wamepoteza credibility baada ya kutokusema ukweli mara ya kwanza!Yaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale Kijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tz, hii maana yake ni nini?
Hapa inabidi tukubaliane jambo moja.
1. Hii story mama Samia na wasaidizi wake wameitengeneza Au
2. Ni uzembe wa hali ya juu sana umefanyika kiasi cha kupelekea kifo cha rais wetu mpendwa.
Kilichonishangaza, kalazwa siku moja na kuruhusiwa kwa matatizo ya moyo, kuna shida mahali kwenye Ile statement ila ndiyo kashasema na kuutangazia umma, acha tuamini.Yaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale Kijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tz, hii maana yake ni nini?
Hapa inabidi tukubaliane jambo moja.
1. Hii story mama Samia na wasaidizi wake wameitengeneza Au
2. Ni uzembe wa hali ya juu sana umefanyika kiasi cha kupelekea kifo cha rais wetu mpendwa.
Mkuu Sexless, huyu mwalimu Majaliwa ana shida mahala fulaniMjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Sidhani kama Ina ukweli Ile statement ila ndiyo ameshatutangazia, acha tuamini hivyo tu.Unaweza kuamini porojo zao, hivi kweli angeruhusiwa, na akawa mzima, angeomba press kama ya Filipo, kudhihirisha yupo fit!
Ziara ya PM kiukweli haikuwa na utulivu!
Everyday is Saturday.............................. 😎
We acha tuu[emoji848]Hivi walipokua wanasema rais yupo ofisini anachapa kazi walikua wanamaanisha nini wakati rais alikua haonekani.
Safi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu