Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Nashauri aachwe kwenye serikali ijayo ameudanganya umma wa watanzania kwamba Rais Hana shida yeyote na Jana mama samiah katuambia Rais alilazwa kwa matibabu JKC na Mzena .

Inatosha Sasa kwa viongozi wanafiki na wazee wa kujikomba komba
 
Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Kama una akili utakuwa umeelewa Sasa kwamba hao unaowaamini ndio mafundi wa kukulisha matango pori
 
Mwamb
Mwambie pia hivyo baba yako na mama yako Kama wapo hai. Pia mke wako na watoto wako Kama unao ...bill Shaka hai niliowataja wako tofauti na wewe mshenzi, an animal, mpumbavu, msaliti na mlamba miguu ya mabeberu..stupid guy..an idiot..
Naive consciousness.


Kwenu nyinyi kila atakae enda kinyume na mawazo YAKO utaruka hoja ya msingi kwa kuanza kumwita mfuasi wa mabeberu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Nyinyi watu mnafurahisha Sana hata NYAKATI za huzuni maana huo mnaonyesha akili za kitoto Sana.

Kibaya zaidi nyie kila mtu anajikuta afisa kipenyo ana access na taarifa zote muhimu za serikali.
 
Waziri Mkuu anatakiwa ajiuzulu nafasi yake kwa kosa la kulidanganya Taifa kuwa Rais haumwi na ni mzima anaendelea na kazi zake. Kauli aliyoitoa tena akiwa "msikitini" ilikuwa ni "uongo" wa wazi na ni aibu kubwa sana siyo tu kwetu sisi Watanzania, bali hata kwa mbele ya jamii ya Kimataifa.

Kwa kosa la kusema "uongo" hadharani, tena ukiwa Waziri Mkuu wa nchi nafikiri ni kosa kubwa sana na anatakiwa ajiuzulu nafasi hiyo haraka iwezekanavyo. Tujiulize, ikiwa katika hili la "ugonjwa" wa Rais, tumedanganywa na Waziri Mkuu, Je, ni mangapi Serikali yake imetudanganya tusiyoyajua?
 
Waziri Mkuu anatakiwa ajiuzulu nafasi yake kwa kosa la kulidanganya Taifa kuwa Rais haumwi na ni mzima anaendelea na kazi zake. Kauli aliyoitoa tena akiwa "msikitini" ilikuwa ni "uongo" wa wazi na ni aibu kubwa sana siyo tu kwetu sisi Watanzania, bali hata kwa mbele ya jamii ya Kimataifa...
Bado yule mkuu wa mkoa Chalamila haujamalizana naye. Naye alitudanganya mchana mweupe
 
Back
Top Bottom