Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

daah! Inasikitisha ingekua kwa wenzetu weupe ingekua shida sana, huku kuogopana sana
Na kwa mbwembwe akaonyesha makaratasi sijui ya mikataba ,sijui ni nyaraka gani zile aliyosaini rais.. Dah sema CCM wamekumbuka pakubwa sana.... Wajifunze zama zimebadilika sana .
 
Tell your colleagues of the media in Kenya kwamba wanachofanya ni act of war... Kama hufahamu maana ya act of war waulize wenzio waelewa
Freedom of speech and transparency hazijawahi kuwa acts of war..... Kule hta Rais wao anachambuliwa nje ndani na media ndio sembuse Rais wa nchi nyingine?
 
Mungu mwepushe na Hilo janga wanalomwombea wabaya wa nchi ili akamilishe mazuri aliyoanza ili Tanzania iwe Kama Amsterdam, Tundu akimbilie uhamishoni huku Tanzania palipokuwa nchi yake ya awali
pole kwa msiba.
 
Hii nchi ilikua ya ajabu under Magufuli jamani. Yani watu wazima wamekua waongo mpk aibu dah
Pole mwaya! Ila kama kuna uwezekano tumshauri mama amfutilie mbali huyu Kassim Majaliwa! Yaani hana kabisa sifa ya kuendelea kuwa PM wa TZ!

Yaani ndani ya miezi miwili tu, ametudanganya Watanzania mara mbili! Mara ya kwanza ni kuhusu zile ajira 5000 za walimu! Na mara ya pili ni hili suala la afya ya Rais!

Bora hata angesema ukweli ya kwamba Rais ni mgonjwa! Kwa kitendo chake cha kutufanya sisi ni watoto, ni vyema akawajibika/akawajibishwa ili iwe funzo kwa viongozi wengine waongo kama yeye.
 
Pole mwaya! Ila kama kuna uwezekano tumshauri mama amfutilie mbali huyu Kassim Majaliwa! Yaani hana kabisa sifa ya kuendelea kuwa PM wa TZ!

Yaani ndani ya miezi miwili tu, ametudanganya Watanzania mara mbili! Mara ya kwanza ni kuhusu zile ajira 5000 za walimu! Na mara ya pili ni hili suala la afya ya Rais!

Bora hata angesema ukweli ya kwamba Rais ni mgonjwa! Kwa kitendo chake cha kutufanya sisi ni watoto, ni vyema akawajibika/akawajibishwa ili iwe funzo kwa viongozi waongine waongo kama yeye.
Ila sasa itawezekana?
 
Back
Top Bottom