Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Poleni.Kuna watu wameumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni.Kuna watu wameumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
daah! Inasikitisha ingekua kwa wenzetu weupe ingekua shida sana, huku kuogopana sanaBADO YULE MKUU WA MKOA CHALAMILA HAUJAMALIZANA NAYE ... NAYE ALITUDANGANYA MCHANA MWEUPE
Na kwa mbwembwe akaonyesha makaratasi sijui ya mikataba ,sijui ni nyaraka gani zile aliyosaini rais.. Dah sema CCM wamekumbuka pakubwa sana.... Wajifunze zama zimebadilika sana .daah! Inasikitisha ingekua kwa wenzetu weupe ingekua shida sana, huku kuogopana sana
Freedom of speech and transparency hazijawahi kuwa acts of war..... Kule hta Rais wao anachambuliwa nje ndani na media ndio sembuse Rais wa nchi nyingine?Tell your colleagues of the media in Kenya kwamba wanachofanya ni act of war... Kama hufahamu maana ya act of war waulize wenzio waelewa
AmeenAsante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Ipo wapi na je mtu binafsi anaruhusiwa kutibiwa hapo?Ni ya Zamani, kuna uzi wake humu unaelezea hiyo Hospitalii
Mkuu sasa badili signature yako Mkuu..... DahKazi ipo..
Bado unamsubiria tu jumapili aibukie kanisani na uteuzi? Au unatesekea wapi sasa hiviNasubiri Jumapili aibukie kanisani kama hajaibuka na uteuzi.
Kumbuka hata bungeni pia amewahi danganya hivi karibuni akisema Ajira elfu tano zimeshatoka wanasambaza walimu tayariWaziri mkuu ningemuona mtu wa busara sana kama angekaa pembeni, amejichafulia CV vibaya mno
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Bado yule mkuu wa mkoa chalamila haujamalizana naye. Naye alitudanganya mchana mweupe
MkuuKazi ipo..
pole kwa msiba.Mungu mwepushe na Hilo janga wanalomwombea wabaya wa nchi ili akamilishe mazuri aliyoanza ili Tanzania iwe Kama Amsterdam, Tundu akimbilie uhamishoni huku Tanzania palipokuwa nchi yake ya awali
pole kwa msibakweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Pole mwaya! Ila kama kuna uwezekano tumshauri mama amfutilie mbali huyu Kassim Majaliwa! Yaani hana kabisa sifa ya kuendelea kuwa PM wa TZ!Hii nchi ilikua ya ajabu under Magufuli jamani. Yani watu wazima wamekua waongo mpk aibu dah
Wameficha habari za ugonjwa wa Magufuli kwa Watanzania.Kwanini viazi?
Ila sasa itawezekana?Pole mwaya! Ila kama kuna uwezekano tumshauri mama amfutilie mbali huyu Kassim Majaliwa! Yaani hana kabisa sifa ya kuendelea kuwa PM wa TZ!
Yaani ndani ya miezi miwili tu, ametudanganya Watanzania mara mbili! Mara ya kwanza ni kuhusu zile ajira 5000 za walimu! Na mara ya pili ni hili suala la afya ya Rais!
Bora hata angesema ukweli ya kwamba Rais ni mgonjwa! Kwa kitendo chake cha kutufanya sisi ni watoto, ni vyema akawajibika/akawajibishwa ili iwe funzo kwa viongozi waongine waongo kama yeye.