Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Ukimsikiliza vizuri,kasema alilazwa tarehe 6 na kesho yake tarehe 7 aliruhusiwa(hospital ya moyo ya Muhimbili).Na tarehe 14 alizidiwa tena na kupekwa mzena hospital hadi mauti unamkuta.
Yaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale Kijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tanzania, hii maana yake ni nini?

Hapa inabidi tukubaliane jambo moja.
1. Hii story mama Samia na wasaidizi wake wameitengeneza Au
2. Ni uzembe wa hali ya juu sana umefanyika kiasi cha kupelekea kifo cha Rais wetu mpendwa.
 
Ukimsikiliza vizuri,kasema alilazwa tarehe 6 na kesho yake tarehe 7 aliruhusiwa(hospital ya moyo ya Muhimbili).Na tarehe 14 alizidiwa tena na kupekwa mzena hospital hadi mauti unamkuta.
Unaweza kuamini porojo zao, hivi kweli angeruhusiwa na akawa mzima, angeomba press kama ya Filipo, kudhihirisha yupo fit!

Ziara ya PM kiukweli haikuwa na utulivu!

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Yaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale hiKijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tz, hii maana yake ni nini?

Hapa inabidi tukubaliane jambo moja.
1. Hii story mama Samia na wasaidizi wake wameitengeneza Au
2. Ni uzembe wa hali ya juu sana umefanyika kiasi cha kupelekea kifo cha rais wetu mpendwa.
Hata Mkapa alipelekwa hapo, ni hospital nzuri tu
 
Yaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale Kijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tz, hii maana yake ni nini?

Hapa inabidi tukubaliane jambo moja.
1. Hii story mama Samia na wasaidizi wake wameitengeneza Au
2. Ni uzembe wa hali ya juu sana umefanyika kiasi cha kupelekea kifo cha rais wetu mpendwa.
Hawa viongozi, PM na VP, wamepoteza credibility baada ya kutokusema ukweli mara ya kwanza!

Kama walithubutu kusema uongo kujibu habari za ugonjwa na kifo zilizokuwa zinasambaa mitandaoni, wanaweza pia kusema uongo kuhusu chanzo cha kifo cha JPM.

Ni vigumu kuwaamini tena.
 
Yaani mgonjwa wa moyo aliyezidiwa (tena rais) unampeleka Mzena (kile kituo cha afya cha usalama pale Kijitonyama) na kumlaza kwa siku tatu mfululizo huku ukikwepa kumpeleka Muhimbili (JKCI) kwenye kituo kikubwa na kikuu cha moyo hapa Tz, hii maana yake ni nini?

Hapa inabidi tukubaliane jambo moja.
1. Hii story mama Samia na wasaidizi wake wameitengeneza Au
2. Ni uzembe wa hali ya juu sana umefanyika kiasi cha kupelekea kifo cha rais wetu mpendwa.
Kilichonishangaza, kalazwa siku moja na kuruhusiwa kwa matatizo ya moyo, kuna shida mahali kwenye Ile statement ila ndiyo kashasema na kuutangazia umma, acha tuamini.
 
Unaweza kuamini porojo zao, hivi kweli angeruhusiwa, na akawa mzima, angeomba press kama ya Filipo, kudhihirisha yupo fit!

Ziara ya PM kiukweli haikuwa na utulivu!

Everyday is Saturday.............................. 😎
Sidhani kama Ina ukweli Ile statement ila ndiyo ameshatutangazia, acha tuamini hivyo tu.
 
Back
Top Bottom