Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo Asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Chanzo: Jamvi la Habari
Yes ili arudi salama na awarudishe walio potea akina Azory na BenMungu mwepushe na Hilo janga wanalomwombea wabaya wa nchi ili akamilishe mazuri aliyoanza ili Tanzania iwe Kama Amsterdam, Tundu akimbilie uhamishoni huku Tanzania palipokuwa nchi yake ya awali
NairobiKwani ukisema yupo India afya yake halijojo...utapungukiwa na kitu?
Baba ugonjwa haufichagwi...neva eva tangu enzi za mababu.Nairobi
India
Mzena
China
Sasa nyie hata akili hamna kumbe?
Maana hospital zote hizo mnasema yuko
Sawa kuna maziko karibuni we hope tutamuona na atatupigia push ups.Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo Asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Chanzo: Jamvi la Habari
Hakika, ikifika siku kama ya leo hajatoka bado basi tutajua kuna namna.Muda ni msemakweli wa wote & Mwenyezi MUNGU atujaalie uhai tufike siku kama ya kesho ya wiki ijayo mbivu na mbichi zitakuwa bayana tu
Bora kwanza ujiombee dua mwenyewe kwanza, uwe na uwezo wa kutambua la kweli na la uongo, uweze kufahamu ni kwa nini wanasiasa wote duniani wanajulikana kwa ujuzi wa kusema uongo. Siasa inaitwa si hasha kwa sababu hiyo!!!!Mungu mwepushe na Hilo janga wanalomwombea wabaya wa nchi ili akamilishe mazuri aliyoanza ili Tanzania iwe Kama Amsterdam, Tundu akimbilie uhamishoni huku Tanzania palipokuwa nchi yake ya awali
Kwani mangapi mlishasema na mwisho anatoka mzima na mnakosa kulejesha taarifa zenu?Sasa serikali hapa ndio wanaonyesha kupoteana, ilitakiwa kama waliamua kukaa kimya basi wangekaa kimya wala wasishindane na watu wa mitandaoni.
Ila kwa hili la kuanza kumjibia Mh. Rais watu wataanza kuunganisha doti. Cha msingi waendelee kukaka kimya huku wakitimiza majukumu yao ya kila siku.
Mbona watu waliambiwa wapinzani ndio walichelewesha maendeleo na kwamba wasipochagua CCM Tunduma waliambiwa maji hawatapelekewa..Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]