Na wewe ulimuamini?Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
We we bado umo humu? Mna matatizo ya kuwaamini viongozi wenu waongo. Twambie Kalamaganda yuko wapi na ile juice ya Madagascar?Safi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Akijibu nitagNakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Safi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
Naunga mkono hoja.Kama kuna kipindi Tundu Lissu ataumbuka basi ni mara hii
Kama kuna kipindi Tundu Lissu ataumbuka basi ni mara hii
Tanganyika kiongozi aliyeomba radhi ni DC WA Iringa tuHivi PM alishaomba radhi kwa huu uongo wake?
Kitendo cha kwenda Njombe kuwadanganya wabena wakati bangi inalimwa huko hakitamwacha salama walahiHizi kauli za mzima anachapa Kazi zimewaletea maswali watu wanauliza mlisema mzima kisha mkatangaza amefariki hili linaleta maswali.
Akirudi hapa ni tag please.Ras Jeff kapita unakwitwa huku!
ππAkirudi hapa ni tag please.
Akirudi hapa ni tag please.
Naona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.
NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
Daaah.....Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Kwahiyo mzimu wa bwana yule umeshamaliza kuonekana kariakoo kwa njia ya motooo kwa hiyo magomeni jiandaeniiiiiiiiiiiiiRais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"