Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Una akili za kishamba sana..Rais wa Chad aliuwawa kwenye vita na waasi na muda huohuo wakatangaza
 
Binafsi, anayesema Rais anaumwa na anayesema Rais ni mzima, Kwa kipindi hiki na kipindi chochote, kama hatumwoni hadharani, hawana tofauti ... wote wanazusha tu...
Huyu waziri ametudanganya sana na bado anaendelea
 
Hii kiutawala haikuwa sawa hasa kwa kiongozi mchaguliwa.
Uwepo utaratibu kuliambia taifa Fulani anaumwa basi.
Kupunguza taharuki zisizo na msingi.
Papa akiumwa kila kitu hewani.
Rais wa marekani vivyo hivyo,
Sisi tuna uspecial gani kuliko hao wa dunia ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…