Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

kama unaakili vizuri hebu tueleze ni nchi gani kiongozi wao akiwa madarakani alishawahi kufariki dakika mbili wakatangaza? juwa yule ni kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa kundi la wavuta bange anaongoza watu wa aina tofauti tofauti we huoni ilivyotangazwa chadema wakaanza kufanya sherehe? ila sasa hivi wanalia kuliko hata angekuwepo
Una akili za kishamba sana..Rais wa Chad aliuwawa kwenye vita na waasi na muda huohuo wakatangaza
 
Hivi nchi hii kuna kiongozi muongo zaidi ya Ndugu Kasimu ?
halafu kaongopa kwenye nyumba ya Mungu, kanyooka na kanzu nyeupe na barakhashia ndefu

nini kilimtuma akatoe makaripio ya kufeki msikitini, of all the places ?????

159967857_1405512946465228_8185915395249364894_n.jpg
 
Binafsi, anayesema Rais anaumwa na anayesema Rais ni mzima, Kwa kipindi hiki na kipindi chochote, kama hatumwoni hadharani, hawana tofauti ... wote wanazusha tu...
Huyu waziri ametudanganya sana na bado anaendelea
 
Hii kiutawala haikuwa sawa hasa kwa kiongozi mchaguliwa.
Uwepo utaratibu kuliambia taifa Fulani anaumwa basi.
Kupunguza taharuki zisizo na msingi.
Papa akiumwa kila kitu hewani.
Rais wa marekani vivyo hivyo,
Sisi tuna uspecial gani kuliko hao wa dunia ya kwanza
 
Back
Top Bottom