Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Cheo kikubwa namna hiyo unadanganya wananchi watu wa hivi tunao lakini ni hatari kwa taifa
 
JPM akiwa mortuary, Waziri Mkuu alitoa hizo statements.
Tulio DSM tayari tulisha liona lile Gun Carriage la jeshi sehemu za Mwenge.
Mungu amsamehe Mahaliwa kwa kukosa busara ya jinsi ya ku handle situation.
Alipofariki Mwalimu kule St Thomas London, Waziri Mkee wakati huo Rashid Kawawa alienda kumwona akiwa bado ICU.
Aliporudi waandishi wa habari walimwuliza swali Mwalimu anaendeleaje.
Kawawa huku machozi yskimlengalenga alisema, nina jambo zito moyoni, na hakuendelea kuongea.
Watu walimwelewa.
 
Kwa hiyo kwako ni sahihi afe tarehe 20 uje useme alikufa tarehe 30? Ili nini sasa?
 
🤣
Makaburi yanaanza kufukuliwa!

Halafu anakwenda kudanganyia kwenye nyumba ya ibada bora angesemea sokoni

Kakobe ajitokeze amwambie huyu atubu
 
Katoa mpya tena. Wamasai toka Ngorongoro kupewa kilomita za mraba 400,000 huko Handeni ilhali Tanzania ina ukubwa wa zaidi kidogo ya kilomita za mraba laki Tisa.
Kuna boko lingine alisemaga watu bilioni 3.9 walifatilia mazishi ya Maguftli. Nimeifufua jukwaa la habari na hoja mchanganyiko
 
Naidownload hii kabisa, akichukua tu fomu ya Urahisi kule mbele tunaye😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…