Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Iv kesho mapumziko au ndio kama kawa..... kama mapumziko nianze mapema kumchek Mchepuko
 
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.

Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Aisee😅
 
Alisema tuwapuuze waposhaji wa mitandaoni sasa tumempuuza yeye kwa kutupotosha tena akiwa msikitini. Halafu bila aibu ameshindwa hata kutuomba radhi kwa uongo mkubwa aliousema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…