[emoji23]Sitamsahau mzee Majaliwa alivyotuingiza chaka tarehe kama ya leo.
[emoji1787]Hivi huwa hawana waandishi wa hotuba zao????
Au wanaamini kuwa wanauwezo wa kuongea point mbele za watu
Alisema tuwapuuze waposhaji wa mitandaoni sasa tumempuuza yeye kwa kutupotosha tena akiwa msikitini. Halafu bila aibu ameshindwa hata kutuomba radhi kwa uongo mkubwa aliousema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ajira za Baba kanituma.
Mwisho hotuba inakuwa upupu
Acha roho mbayaNaidownload hii kabisa, akichukua tu fomu ya Urahisi kule mbele tunaye😀😀😀
Sasa tunajua.Huu mzozo ungemalizwa kwa press conference ya rais ya dakika tano tu.
Ukweli kwamba wanashindwa kufanya hivyo unaonesha kuna jambo wanaficha.
Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.
Una maana gani hapo?Sasa tunajua.
Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.
Rest in protons Magufuli.
Kifo kinamkongoroa mtu anaishia kwenye viprotoni vyake.Una maana gani hapo?
Majaliwa alitenda dhambi kubwa sana! I can imagine ulivyoumia 17/3.kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Mbona mwafukua makaburi, kwani kunani tena?Hakuna mtu muongo Tanzania kama huyu jamaa
Acha uchocheziHakuna mtu muongo Tanzania kama huyu jamaa