Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Naunga mkono hoja
 
kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Kabisa tena anapiga push upπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili linchi limeoza! Yaani mko serious mnaamini huu uzushi! Ujue msikute mkuu anawasoma anawashangaa tu! I believe, he is very cool and safe! Acheni kuamini kila uzushi! Kuna wanasiasa akiwemo Tundu Lissu wataumbuka! Save this comment!!!

Nakusalimia
 
kweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Na leo anamuapisha Sabaya kuwa RC Katavi
 
..Dah!!

..Kassim ni kibogo.

..Huyu ni muongo aliyehitimu ktk viwango vya juu kabisa.

..Hana aibu wala uoga wakati akisema uongo.
 
Kauli za Majaliwa zitamhukumu kwa muda mrefu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…