Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.

I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Au sioo!
 
Hapa kazi tu
 
Mzee wa "unspecified reports" kwema?
 
Kwa hiyo leo Samia hajaonekana May 1 .Ndo mmefufua huu uzi?
 
β€œhata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.”

Contradictory
[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…