Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.

I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Au sioo!
 
Rais John Joseph Pombe Magufuli piga kazi kuwaletea na kuwajengea misingi imara ya kimaendeleo Watanzania nilichogundua Watanzania wanampenda sana Rais wao kiasi cha kutokumuona wala kumsikia ndani ya wiki kila mmoja amekuwa hana raha kwa kuwa wameshazoea kumsikia akiwapa maagizo wateule wake na kutatua kero za wananchi.

Kwa dalili hizi ni kipimo cha mapenzi kilichopitiliza najua wenye account fake wakiwa peke yao au kwenye vikao vyao wanazungumzia muziki mnene wa mtetezi wa wanyonge.

Tuendelee kumuombea kwa Mungu raisi wetu azidi kuwa na afya njema na amuepushe na wenye husuda na roho mbaya ili aweze kutekeleza yale yote aliyo ahidi kipindi cha kampeni kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Raisi wetu wananchi wamekumiss na wanakupenda sana muda utakaonekana ama hakika watashangilia kama kumefungwa goli uwanja wa taifa!

Hapa kazi tu, tusisahau kufuata muongozo wa wataalamu wa afya Covid19 ipo!
Hapa kazi tu
 
Hivi huyo mama kazi yake ni kutuletea speculation, unspecified reports. Huyo mama na Lissu wanapenda speculation na unspecified reports kuwa viongoz wetu wanaumwa. Hayo ni maisha mabovu. Speculation zinaweza kusababisha ukatengana na mke. Sasa wamepata report kamili kutoka kwa mkuu, watulie.

Uyo
Mzee wa "unspecified reports" kwema?
 
Kwa hiyo leo Samia hajaonekana May 1 .Ndo mmefufua huu uzi?
 
“hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.”

Contradictory
[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom