Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

T
Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe

Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Taifa likatulia baada ya Mungu kuingilia kati
 
Sio Kila ukweli ni wa kutamka hadharani.
Hata kama hilo ni kweli, bado halimaanishi ilikuwa lazima adanganye kijinga kwa namna ambayo inawezekana kujulikana kirahisi kwamba alidanganya.

Uongo ule unaonesha kuwa Majaliwa akili yake fupi, hafikirii vitu tofauti vinavyoweza kutokea na yeye atakavyoonekana.

Viongozi kama hawa ndio wanatuingiza kwenye mikataba mibovu kwa sababau hawana uwezo wa kuchart all possible scenarios na kuchukua the best course of action.

Kwani Majaliwa angekaa kimya mpaka muda useme angepungukuwa nini? Kulikuwa na ulazima gani wa kudanganya vile pale msikitini?

Sasa hivi kila kauli atakayotoa Majaliwa ya kutaka kujionesha anatuasa kiukweli naiwekea shaka, najisema huyu ndiye mtu aliyetuambia Magufuli yuko mzima anachapa kazi Ikulu, wakati ni mgonjwa mahututi anajifia. Kama kadanganya kwenye hili, tena yeye Muislamu, akiwa msikitini, anatudanganya kwenye mangapi mengine?

Amana, trust, ni kitu kigumu sana kuki maintain, na kikiharibiwa kurudi ni kazi sana.

Kwenye nchi ya watu wanaotumia mantiki na akili Majaliwa alitakuwa kujiuzulu kwa kauli ile.

Bahati yake Tanzania watu wengi hawatumii mantiki wala akili, wanakwenda kwa wanachokiita kudura za Mungu tu.
 
Ukisoma katikati ya mistari unaona kabisa kulikuwa na jambo sema wakawa wanapambana kulificha ndiyo maana wakatumwa mikoa ya mbali wasijue mipango mingine.
 
Majaliwa hapa alimsimanga sana Lissu kuwa ni mtu wa husda, muongo muongo 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…