Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
..Rais ajitokeze hadharani azungumze na sisi wananchi wake. Tumemkumbuka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Rais ajitokeze hadharani azungumze na sisi wananchi wake. Tumemkumbuka sana.
Naendelea vizuri sana mkuuKaka kulikuwa na mada inasema ulikuwa na changamoto za ajali.
Kama ni wazushi (washindwe na walegee).
Kama kulikuwa na ukweli mungu ni mwema nikutakie (a stable recovery).
🙏🙏🙏 🤲🤲🤲 mungu ni mwema.Naendelea vizuri sana mkuu
Hahaha!Naona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.
NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
Wazushi hawaishiTuwapuuze wazushi
Taifa likatulia baada ya Mungu kuingilia katiKifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Hatari lakini salama.Hatari sana
Kwa kosa gani ?Kassim alituomba msamaha?
Kwa kudanganya rais yuko Ikulu anachapa kazi wakati yupo hospitali anajifia zake.Kwa kosa gani ?
Sio Kila ukweli ni wa kutamka hadharani.Kwa kudanganya rais yuko Ikulu anachapa kazi wakati yupo hospitali anajifia zake.
Hata kama hilo ni kweli, bado halimaanishi ilikuwa lazima adanganye kijinga kwa namna ambayo inawezekana kujulikana kirahisi kwamba alidanganya.Sio Kila ukweli ni wa kutamka hadharani.
Ukisoma katikati ya mistari unaona kabisa kulikuwa na jambo sema wakawa wanapambana kulificha ndiyo maana wakatumwa mikoa ya mbali wasijue mipango mingine.Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.