Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Hata mimi nawaza hivi, siku mkiambiwa chuma kinaumwa mjue chuma kimeshang'oka.Angempigia Hapo hapo kumjulia hali. Mbona kwenye kampeni walikuwa wakiongea mubashara.
Kauli ya leo imetoa taarifa Rais anaumwa. Siku wakija kusema anaumwa tujue kuwa atakuwa amefariki.
Word!Kabisa... Unawakumbuka waliosema LOWASA MGONJWA!? Wengi wao hawapo duniani... SIJUI WALIKO... nisiulizwe please, kama ni Mars, Jupita etc sijui
Kwa “tamko” hili, PM kathibitisha kwamba mzee hali ya afya sio nzuri
Jiwe anavyopenda misifa lazima angejitokeza mwenyewe na kuonyesha yupo salama
Heee Bhwanaah!Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Yule anavyopenda sifa na media ungekutana ameshajitokeza muda sanaKama mzima tunamuomba aje kutuzindulia daraja letu tulilolijenga kwa nguvu zetu wananchi huku kijiji cha kiwiliwili
Afisa kipenyo mwandamizi wa ufipani atakuwaMjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Magufuli kamlazimisha Tundu Lissu kikimbia nyumbani kwao.Mungu mwepushe na Hilo janga wanalomwombea wabaya wa nchi ili akamilishe mazuri aliyoanza ili Tanzania iwe Kama Amsterdam, Tundu akimbilie uhamishoni huku Tanzania palipokuwa nchi yake ya awali
Yaani nimecheka kwa sauti peke yangu utafikiria chiziHivi hakuna mwenye kirusi cha Corona ampatie Maajaliwa.
Hii Serikali ya mafisi wa Lumumba ni shidaaaa..!!!Mimi hata siangalii hili jambo kama la kusutana.
Ninaliangalia hivi.
1. Katiba ya Tanzania inasema wananchi wana haki ya kupewa habari za muhimu kuhusu maendeleo ya nchi....
Kabisa mkuu,ile habari niliipuuza mapema asubuhi tu,kwanza mtu yupo ulaya halafu anasema rais wa tanzania haonekani,ki vipi? Pumbavu kabisa lissuIla kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Yuko Nairobi, India, Mzena, china!Hoi bin taabani Mkuu Covid imemfanya vibaya.
Unahangaika mno!Uvumi umeuanzisha wewe halafu unataka Rais aache majukumu yake aje ayakanushe? Wewe ni bure na robo ^tar-two¡^