Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlisema corona hamna kwani mna shindwa nini kusema Jiwe ni mzima?Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo Asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Chanzo: Jamvi la Habari
Hukohuko unapopajuaHuko 'ikuru' ni wapi we Guluguja, naona umekazia kwa kurudia sana.
Kama ni kweli kwanini Raisi ,wenyewe asitoke na kusimama ikulu mpaka tunafika huku. Wanataka wamlete akipata nafuu kama vile hajaondoka wakati waganga wa Nairobi ndiyo walisema yupo pale. Huu ni utamaduni wa uongo uliopo kwenye uongozi huu. Haya ni mapungufu makubwa ya serikali
Kama kuna kipindi Tundu Lissu ataumbuka basi ni mara hii
Wanataka kumfanya Superman hawezi kuumwa.Kwani ukisema yupo India afya yake halijojo...utapungukiwa na kitu?
Kwanza kabisa ni kurejesha sio kulejesha, taarifa na sio taatifa, ikulu sio ikuru. Hivi ulipata wapi elimu yako?Kwani mangapi mlishasema na mwisho anatoka mzima na mnakosa kulejesha taarifa zenu?
Wote mnao ongea hamna uwezo wa kwenda ikuru ila mnajifanya mna taatifa za mtu wa ikuru kwa mtizamo wenu.
Kama mnampenda basi anzeni kumpa heshima yake na sio vijembe vyenu.
Watu wa Magomeni wamemsitiri Mwalimu Nyerere hapo alipokuwa katika harakati za kugombea uhuru.Kwamba watu wa Magomeni ndo wa hovyo sana ama nini!!
Kuna kitu wanaficha. Kijinga sana.Bado naimani jambo letu lipo palepale
Ama sivyo amalize mzozo...........very simple
Atoke zake ikulu mdogo mdogo aende feli kununua samaki kisha arudi zake, case itakua closed
Familia ya Azori wanaelewa hiiii?Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Umemuona Rais? au ndio wale wakumeza kila kituUvumi umeuanzisha wewe halafu unataka Rais aache majukumu yake aje ayakanushe!??? Wewe ni bure na robo ^tar-two¡^
Nani alimuombea kifo?
Angempigia Hapo hapo kumjulia hali. Mbona kwenye kampeni walikuwa wakiongea mubashara.Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo Asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Chanzo: Jamvi la Habari
....nioneshe nilipoandika Rais yuko Kenya au IndiaWewe ulipozusha yuko Nairobi & India, ulimuona!???