Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are ass!You are a foul fucktard, an ignoble imbecile and a calcified cretin.
You, like a tepid tapeworm, have no ability to process a hypothetical argument.Sasa wewe una lazimisha awe anaumwa? Si umwe wewe?
Tofauti yako wewe na mimi ni kwamba, wewe unakubali kuuziwa mbuzi ndani ya gunia, mimi nataka kumuona nihakikishe mbuzi yupo kweli kabla sijamnunua.Una point ya msingi but.... waziri mkuu ameshatuambia yupo anapiga kazi
You can't even write.You are ass!
Tuthibitishie hapa mhuni ni naniRais hawezi kufanya kwa matakwa ya wahuni wachache wa mitandaoni kama kina Lisu
UnahakikaHawezi kufa. Unakufa kama huna kazi za kufanya, huyu hajaimaliza kazi bado.
You name it until you collapsePumba
Pai? Spy?Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Amezimia yuko ICU!Hivi Lissu yuko wapi???
Muulizeni huyo mzushi wenu wa Nairobi mara India ana majibu yote, sawa!???Zamani haikuwa kawaida mtu.mzima tena kiongozi kusimama hadharani na kusema uongo. Nini kimetupata mpaka.waheshimiwa sasa.ni sawa na mateja,hawaamimiki.
Kwani we ushawahi kumuombea nani Kifo halafu ukafa!?Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Kumbe anaongopa!Zamani haikuwa kawaida mtu.mzima tena kiongozi kusimama hadharani na kusema uongo. Nini kimetupata mpaka.waheshimiwa sasa.ni sawa na mateja,hawaamimiki.