Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Humans are tribal animals, they will find shit to be tribal about regardless.
 
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.

Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Pai? Spy?
 
Zamani haikuwa kawaida mtu.mzima tena kiongozi kusimama hadharani na kusema uongo. Nini kimetupata mpaka.waheshimiwa sasa.ni sawa na mateja,hawaamimiki.
 
Zamani haikuwa kawaida mtu.mzima tena kiongozi kusimama hadharani na kusema uongo. Nini kimetupata mpaka.waheshimiwa sasa.ni sawa na mateja,hawaamimiki.
Muulizeni huyo mzushi wenu wa Nairobi mara India ana majibu yote, sawa!???
 
Back
Top Bottom