macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Na kuua mtu?Because kumzushia Mkuu wa Nchi kifo hivyo siyo jambo dogo. By the way, hiyo ni treason.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuua mtu?Because kumzushia Mkuu wa Nchi kifo hivyo siyo jambo dogo. By the way, hiyo ni treason.
Na kuua mtu?kumzushia mtu kifo sio dhihaka tu kwa Mungu,ni kukataa kabisa uwepo wake.
Kwahiyo umeme umeanza awamu hii?Kompyuta bila umeme inawezekana!??? Hukuona tunaanza na umeme kila kijiji!??? Wewe ni akili ya bamdogo tu 🙂
Anaumwa
Intelligensia ya kizamani hivi? Ya Rais kujificha? Usitake kuwaambiwa watu security organ zetu ni za kijinga namna hii.Mambo ya ki-intelligensia hayo! Nadhani watakuwa wameshapata picha.
Umesema huko nyuma kwa hiyo siyo leo wala kesho.Huko nyuma rais hata akipiga simu au akisalimiana na mtu utaona tarifa kwa umma. Vyombo vya habari lasima vionyshe hababari kuhumsu Magu kila siku.sasa iweje leo kimya?
Tupe yako ya kisasa!Intelligensia ya kizamani hivi? Ya rais kujificha? Usitak kuwaambiwa watu security organ zetu ni za kijinga namna hii.
Huu ni wakati wa kuficha aibu zetu. Hajui tu. Acha tusionekane.Umesema huko nyuma kwa hiyo siyo lro wala kesho.
Kila kitu na wakati wake.
Unatia huruma. Fananisha vitu vinavyofanana. Utafananishaje mtu mmoja na nchi? Ungekuwa na akili ungefananisha na nchi kama Kenya, Uganda n.k. Anyways wachunga ng'ombe kupewa nchi ilikuwa kosa kubwa.Tupe yako ya kisasa!
Zamani nilidhani anafaa kuwa ni mbadala lakini ameprove mwenyewe kuwa hafai mara nyingi sana.Juzi alikuwa Njombe, siku hiyo hiyo akaenda Dodoma.
Jana akarejea Njombe, mara leo safarini Dodoma tena ilihali alitakiwa awe bandari ya Manda ambako Wamanda walikuwa wamemuandalia hadi ngoma ya "mganda" kumkaribisha. Wamanda wamesikitika sana wanajiuliza kulikoni tena kaka mkubwa?
Wewe unajua???Acha ujinga,nani kasema anajua taasisi ya uraisi,unajifanya mjuaji halafu hujui rais wako kama mzima wa afya au mgonjwa. Ffuucck off!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafte pleaseTupe yako ya kisasa!
Achana na TZ hangaika na Kenya yako wewe nyang'ao!Unatia huruma. Fananisha vitu vinavyofanana. Utafananishaje mtu mmoja na nchi? Ungekuwa na akili ungefananisha na nchi kama Kenya, Uganda n.k. Anyways wachunga ng'ombe kupewa nchi ilikuwa kosa kubwa.
Magufuli ni mzima, ia anaumwa. Ingekuwa busara Wananchi wafahamishwe. Haya yote yasingetokea.Achana na TZ hangaika na Kenya yako wewe nyang'ao!