Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haaaaa..... eti mzima na anachapa kazi...
Kasitisha ziara ya kwenda Mbeya.Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Kwenye mfungo na maombi ya wiki 3Mama Samia Suluhu kesho atakuwa Tanga anazindua kiwanda...ila Mh Rais sijui yuko wapi....
Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji173][emoji1241][emoji106][emoji111][emoji120]
Umuofia Kwenu,
Leo Jiwe ameonekana ibadani au ndio bado yale mambo ya Yeye si parish worker?
We ndo kiazi, kweliRais ni taasisi ni mkuu wa nchi na serikali, kuna watu inabidi tuwafunde kidogo wajue kumtofautisha rais na magufuli..ukiona shughuli za serikali zinaendelea ujue Rais yupo na yuko kazini..sasa hawa vinyang'aragata wanaohoji ujinga na uzushi wanaoneza ramli kuhusu afya ya rais ni wazandiki wapuuzwe...unahoji jpm alipo wewe ni jesca?
Unataka kujua yuko wapi wewe ni janeth? Naye kama binadam anapaswa kuwa na faragha kidogo ale harua anywe kahawa,apumzike na watoto na wajukuu bila makamera yenu sasa mnaomzushia ugonjwa ugueni nyie na mnaomwombea afe mfe nyie.
Ikawaje?Sio, kama aliombewa ilitolewa oda auwawe na kamera ziondolewe.
Fafanua bossIt looks like hutamuona tena
Bado umeniacha nivute mkonoTrinidad
Asante Majaliwa; majibu yako ni kuwa Rais ni mzima wa afya na anaendelea na kazi zake. Mnafanya makosa kuacha habari hizi ziwe zinatokea kila baada ya muda fulani. S
ijui kwanini.... inawezekana ni security operation mnaifanya lakini hamlitendei taifa haki. Nashukuru swali langu la juzi limejibiwa na maisha yanasonga mbele.
Lakini bila Rais mwenyewe kuonekana ni wachache wataamini kauli yako (mimi si mmojawapo). Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki Watanzania!
Ila naona kama umejaa uchungu Sana na mahubiri yako hayaonyeshi hata chembe ya neema na upendo! Nikuulize: Je huwa unamwombea Rais wetu Magufuli kama maandiko yanavyotutaka? Maandiko yanasema usihukumu usije ukahukumiwa!Hivi kuna anaemwombea kifo Rais Magufuli...?
Watu wanauliza tu aliko maana si kawaida yake na pia huyu ni Rais wa nchi kila kitu kumhusu (isipkuwa kuhusu mambo ya nyumba yake) is a public concern...
Na labda mmesahau tu..
Serikali yake kwa maagizo yake mwenyewe imeua watu wengi sana kwa namna na sababu mbalimbali. Wote hawa nao wanalilia haki. Wanamlilia Mungu alipe kisasi dhidi ya waliowaumiza au kukatisha uhai wa ndugu zao...
Kwa kifupi sana ni kuwa, mikono ya Magufuli inanuka na imetapakaa damu za watu wasio na hatia yoyote bali ni kwa sbb tu wametofautiana ama hawakubaliani na mipango na sera na mawazo yake...
Tunakumbuka vizuri sana simanzi iliyolikumba taifa mwaka 2017, mchana kweupe, katikati ya mji wa Dodoma, watu wanaoitwa hadi leo "wasiojulikana" walipomshindilia risasi nyingi mwanasiasa machachari wa upinzani Wakili na Mwanasheria Tundu Lissu....
Serikali hii hii ya Magufuli haijawahi kuchunguza wala kukamata wahalifu hawa wa maisha ya Tundu Lissu na familia yake. Huu ni ushahidi wa wazi kabisa kuwa serikali ya Magufuli ilipanga na kulitekeleza shambulio hilo....
Mimi ni Mkristo, naamini ktk kusameheana na kusahau. Aidha naamini kuwa "kisasi ni cha Mungu mwenyewe, si juu yetu wanadamu"....
Lakini naamini pia kuwa, kila dhambi ni lazima ihukumiwe. Hata Mimi au wewe unayesoma hili andiko, ukitenda dhambi ni lazima ulipe gharama yake maana imeandikwa " ....Mshahara wa dhambi ni mauti....".
Kamwe Mungu hawezi kwenda kinyume na NENO LAKE. Kila Neno la Mungu lazima litende kazi yake. Alichokisema Mungu, HUKITENDA....!;
Kwa dhambi hizi za kuumiza watu, kukatisha uhai wao (kuua), kudhulumu haki zao, nakuhakikishia kuwa, kila aliyehusika directly au indirectly ni lazima apate adhabu yake toka kwa Mungu muumba mwenyewe unless wapate NEEMA YA KUTUBIA MAKOSA YAO...
Hii sisemi Mimi. Ni maandiko matakatifu ambayo ni NENO la Mungu yanasema...
Mimi sipepesi macho, nasema moja kwa moja kuwa Rais Magufuli ni wa kwanza miongoni mwa wote...
Machozi na vilio vya walioumizwa na utawala wake vimefika kwa Mungu na Mungu ameshuka mwenyewe kuja kuwafuta Machozi kwa kila mtu kupata mshahara wake...
Mwambieni suluhu na salama yake ni TOBA YA UCHUNGU tu. Mwambieni atubu dhambi zake. Mungu wetu ni wa rehema na neema, atamsamehe na kumpa muda zaidi wa kuishi. Asipotubu, HAKIKA ATAKUFA...!!!
Awe kama Mfalme (Rais) Hezekia wa Yuda - Israeli [Soma 2 Wafalme 20: 1 - 6] katika biblia. Alipitia wakati mgumu kama anaopitia Rais Magufuli. Aliugua karibu ya kufa. Nabii Isaya akamletea ujumbe toka kwa Mungu kumueleza sababu ya adhabu yake hiyo. Nabii alimwambia Mfalme Hezekia, kuwa Mungu anasema, rekebisha mambo yako nawe utapona...
Mfamle Hezekiah alikuwa mtu muungwana. Aliupokea ujumbe wa Mungu na yote yampasayo kufanya ili aokoke na kupona...
Akatii na kufanya sawasawa na maagizo ya Isaya mwana wa Amozi. Hezekiah akararua mavazi yake, akafanya maombi makuu....
Hakuagiza Taifa zima lifunge na kuomba kwa ajili yake kwa sababu tatizo ni lake binafsi wala siyo la taifa lote la Israel...
Mungu akayapokea maombi yake. Akamponya ugonjwa uliokuwa unamsumbua na kutishia uhai wake. Akamwingezea miaka 15 zaidi ya kuishi...
Rais Magufuli has to do the same else he will die. Kumbuka Mungu haangalii umefanya mazuri mangapi. Ukimtenda dhambi, anafuta yote. Yeye ana watu wengi sana anaoweza kuwapa jukumu la kuongoza na kutawala watu wake na wakafanya makubwa kuliko hata yeye....!!!
Mungu ampe neema ya kumjua Yesu Kristo ili amwokoe...
Wanaosema wameongea naye tupeni audio ya hayo mazungumzo na mpendwa wetu jamaniKwa “tamko” hili, PM kathibitisha kwamba mzee hali ya afya sio nzuri
Jiwe anavyopenda misifa lazima angejitokeza mwenyewe na kuonyesha yupo salama
Kumbe ndivyo walivyo.Hakuna watu wasio na soni kama Wana Lumumba.Wanajua namna ya kubadili gia angani.Leo wanaweza kuongea hivi kesho wakabadili kama sio wao.Rejea:Maalim Seif kipindi cha kampeni na baadae alipoukwaa umakamu wa raisi!
Hawa watu wana PhD ya unafiki!Kumbe ndivyo walivyo.
Si ajabu wataanza kumsifia Lissu kwakuwa wanajua kuwa anakwenda kukabidhiwa nchi na Mungu