CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mshamba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshamba sana
Eti Kiswaswandu😁😁🤣🤣😅,dah watu mna maneno jamani,kweli inatakiwa ukiwa mwanasiasa hutakiwi kuwa na hasira,maana na kazi yangu hii halafu uniite hilo jina wallah zitawaka ngumi sio za nchi hii...Kiswaswadu mwongo sana mbaya zaidi anasema uongo akiwa msikitini
Mbele ya madhabahuLeo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
DaahMbele ya madhabahu
ni kweli kuna watu wamekimbiaSafi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
maneno yako yanaishiHuyu c wa kuamini
Aise,uovu ni kitu kibaya sana,unafiki ni mbaya sana.Yaani jamaa macho makavu kabisa,wala hajisikii vibaya hata kidogo,anatafuna uketo tu.Duh!So hawa ndio wanaotaka tuwaamini kwenye zengwe la DP World.Eti mtuamini,tuwaamini ninyi Mungu.Kama mlitudanganya kwenye kifo cha Magufuli,hamna ukomo wa kudanganya ninyi,we cannot believe you in anything.Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini.
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salamu.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Kwa kipindi hiki vipi mkuu?Bora hata mpango namsifu alijitutumua angalau tukamwona akajikaza akazungumza kidogo alafu akarudi wodini kumalizia drip na sindano.