Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

Kwani ukikodisha linakuwa la nani!?..............It is ours but is not belongs to us.
Mkuu ukisoma vizuri nilichokiandika utaona ninachokilalamikia. Vinginevyo utaegemea kwenye ushabiki.
Anyway, you have done.
 
Unapungukiwa nini kumtaja kabisa mbona mmeanza uwoga mapema?
Hakuna uoga mkuu........things are open, nilichokiandika ni tayari nimemtaja.
Nikisema mkuu wa polisi Tanzania....kuna haja ya kutaja hapo?
 
Mkuu kikundi hiki hakina chama....kila member ana chama chake cha siasa.
Si rahisi kwa ulichokiandika.
Anyway, thank u.
Ni message kuwa wote wawe makini kuchagua watoa maamuzi makini na siyo kudanganywa na vitu vidogo!
 
Haya mambo ni ya kusikitisha sana, lakini nina point zangu mbili
1. Hivi hawa watu wakishapata madaraka huwa wanajiona ni miungu na wanasaha ukuwa kuna siku wataacha tu madaraka na kuwa watu wa kawaida? Wamessahau kuwa mpanda ngazi hushuka?
2. Hilo limetokea na kila mtu huko kwenu ameliona na naamini wengi wenu mnaamini kuwa kungelikuwepo na solution bora zaidi kuliko kuchoma miwa yenu lakini naamini kabisa ikifika wakati wa uchaguzi nyoooote mtampa kura zenu yeye au chama chake cha ccm, mtasahau maonevu hayao na mtapita mitaani mkicheza ngoma kusheherekea ushindi wao.

Amkeni watanzania kwa ujumla!!!! Muda umefika kujaribu uongozi wa chama kingeni!!!!!
 
Mkuu sija kupata hapa......
anyway, Lukuvi mwenewe alikuwa anamuhofia huyu jamaa. Kuna siku alikuwa anasita kumtaja mbele ya mwendazake.
Basi jamaa anatisha haswa
Kama hata Lukuvi amenywea na kujikwaza kote kule basi watakuwa wamezila nyingi kutoka kwake

Wengi wanajifanya hawali rushwa na kusema ooh nimekata mara kibao kumbe
Tatizo la kampeni hizo
 
Basi jamaa anatisha haswa
Kama hata Lukuvi amenywea na kujikwaza kote kule basi watakuwa wamezila nyingi kutoka kwake

Wengi wanajifanya hawali rushwa na kusema ooh nimekata mara kibao kumbe
Tatizo la kampeni hizo
Tatizo kujuana ni kwingi.........huyu mwezetu alitusaidia kwenye kampeni.
 
Thank u mkuu,,,,, kuonewa huku kuna majibu yako.........time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…