Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Yule jamaa yakeKwani wakati zinachotwa hizo pesa waziri wa fedha alikuwa nani?
Namba Mbili wa leo ..!Kwani wakati zinachotwa hizo pesa waziri wa fedha alikuwa nani?
Kwamba Hawezi kuwaagiza TAKUKURU kufuatilia maiamala YA KUSHOTO iliyopo kwenye ripoti ya CAG ?Waziri mkuu anafanya yale yaliyopo kwenye mamlaka yake mengine anaachia kwa yule aliyewateua.
Huyu naye kama kweli ni mtenda haki aanze na Ndugai na genge lake
Kwamba Hawezi kuwaagiza TAKUKURU kufuatilia maiamala YA KUSHOTO iliyopo kwenye ripoti ya CAG ?Waziri mkuu anafanya yale yaliyopo kwenye mamlaka yake mengine anaachia kwa yule aliyewateua.
Ha ha ha ha, Kwani wenyewe wanasemaje ?Anaanzaje kuingilia bunge? Wakati wenyewe hawajui hata sheria zimepitaje!!!