Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
 
wizi wote ktk idara za serikali, taasisi n.k umebainishwa ktk ripoti ya CAG kinacho takiwa na kila mtendaji ktk serikali wakiongozwa na waziri Mkuu, mawaziri kufuatilia kwa karibu mianya ya ukaribu.
 
Kakoko aliwahi kutuambia kwenye kikao kimoja hivi,yeye anapokea maelekezo ya Magufuli, Waziri Mkuu hana lolote analoweza kumuagiza. Toka siku hiyo nikampuuza Kassimu
 
Mwaga Nondo Hapa Mleta Thread
Weka Code Hapa Hapa Halafu Watu Wataunganisha Dot Kazi Itakuwa Rahisi Mno
 
Waziri mkuu anafanya yale yaliyopo kwenye mamlaka yake mengine anaachia kwa yule aliyewateua.
Kwamba Hawezi kuwaagiza TAKUKURU kufuatilia maiamala YA KUSHOTO iliyopo kwenye ripoti ya CAG ?
Anaanzaje kuingilia bunge? Wakati wenyewe hawajui hata sheria zimepitaje!!!
Ha ha ha ha, Kwani wenyewe wanasemaje ?
 
Back
Top Bottom