rafael mkumbos
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 191
- 369
Hii ni rushwa ya wazi kabisa!Wakuu Salaam? Jana jumapili asubuhi mheshimu waziri mkuu komredi Mwigulu Nchemba, aliabudu katika kanisa la TAG kiomboi linaloongozwa na mchungaji Yona Suleiman. Baada ya mahubiri alipewa nafasi ya kuhutubia ambapo pamoja na kupiga siasa zake,alizungumzia ujenzi wa kanisa jipya linalojengwa hapo.
Kilichoshangaza wengi ni pale alipoahidi kuchangia sh million 15 kwenye ujenzi wenye bajeti ya bilion 1.
Kwa cheo chake kuahidi vihela kiduchu namna hiyo ni aibu na fedheha kwa kanisa la Mungu.
Aibu hii inachagizwa na kiwango cha mapokezi aliyopewa. Wadau hii ni sawa kweli?
katika mizunguko yetu ya Kila siku nahisiWakuu Salaam? Jana jumapili asubuhi mheshimu waziri mkuu komredi Mwigulu Nchemba, aliabudu katika kanisa la TAG kiomboi linaloongozwa na mchungaji Yona Suleiman. Baada ya mahubiri alipewa nafasi ya kuhutubia ambapo pamoja na kupiga siasa zake,alizungumzia ujenzi wa kanisa jipya linalojengwa hapo.
Kilichoshangaza wengi ni pale alipoahidi kuchangia sh million 15 kwenye ujenzi wenye bajeti ya bilion 1.
Kwa cheo chake kuahidi vihela kiduchu namna hiyo ni aibu na fedheha kwa kanisa la Mungu.
Aibu hii inachagizwa na kiwango cha mapokezi aliyopewa. Wadau hii ni sawa kweli?
"Madilu" System ni TAPLEI tu.Wakuu Salaam? Jana jumapili asubuhi mheshimu waziri mkuu komredi Mwigulu Nchemba, aliabudu katika kanisa la TAG kiomboi linaloongozwa na mchungaji Yona Suleiman. Baada ya mahubiri alipewa nafasi ya kuhutubia ambapo pamoja na kupiga siasa zake,alizungumzia ujenzi wa kanisa jipya linalojengwa hapo.
Kilichoshangaza wengi ni pale alipoahidi kuchangia sh million 15 kwenye ujenzi wenye bajeti ya bilion 1.
Kwa cheo chake kuahidi vihela kiduchu namna hiyo ni aibu na fedheha kwa kanisa la Mungu.
Aibu hii inachagizwa na kiwango cha mapokezi aliyopewa. Wadau hii ni sawa kweli?
Acheni Unafiki wenu hapa Ninyi. Angeahidi Kutoa Million hata mia ama hamsini ama zaidi ya Mia moja mngeanza kupiga makelele yenu na kusema ni ufisadi na ni pesa za wizi mara mngeanza kusema anapiga kampeni kama Lowasa Makanisani.
Ninyi hamna jema wala zuri . Mmejaa chuki binafsi na wivu tu Mioyoni Mwenu.
Kwa taarifa yenu ni kuwa kamwe na katu hamtaweza kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean wala kumshusha. Huyo ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na katu hamtaweza kumyumbisha
Kila Mtanzania anafahamu uchapakazi wake , uzalendo wake, uadilifu wake na moyo wake wa huruma,upendo ,kujitoa na kujitolea .
Ametoa hizo pesa kama mwanzo tu na ataendelea kutoa zaidi na zaidi kwa kadri itakavyohitajika.Ni waziri mkuu wa Tanzania na siyo waziri mkuu wa kanisa lolote lile .kwa Sasa ni lazima ufahamu yeye ni Namba tatu kwa Taifa baada ya Mheshimiwa Rais na hivyo kama ni misaada anatoa kila apitako katika Nchi hii

Anatoa kutoka kwenye FUNGU lipi ???? Kwa malengo Gani????Acheni Unafiki wenu hapa Ninyi. Angeahidi Kutoa Million hata mia ama hamsini ama zaidi ya Mia moja mngeanza kupiga makelele yenu na kusema ni ufisadi na ni pesa za wizi mara mngeanza kusema anapiga kampeni kama Lowasa Makanisani.
Ninyi hamna jema wala zuri . Mmejaa chuki binafsi na wivu tu Mioyoni Mwenu.
Kwa taarifa yenu ni kuwa kamwe na katu hamtaweza kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean wala kumshusha. Huyo ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na katu hamtaweza kumyumbisha
Kila Mtanzania anafahamu uchapakazi wake , uzalendo wake, uadilifu wake na moyo wake wa huruma,upendo ,kujitoa na kujitolea .
Ametoa hizo pesa kama mwanzo tu na ataendelea kutoa zaidi na zaidi kwa kadri itakavyohitajika.Ni waziri mkuu wa Tanzania na siyo waziri mkuu wa kanisa lolote lile .kwa Sasa ni lazima ufahamu yeye ni Namba tatu kwa Taifa baada ya Mheshimiwa Rais na hivyo kama ni misaada anatoa kila apitako katika Nchi hii
Pesa hizo zinatoka kwenye fungu Gani la bajeti ya pm huyu mla rushwa? Mwenye ukwasi mkubwa kama mfanya biashara?
Ondoa wivu wako na mihasira yako hapa ewe mvivu mkubwa wa kufanya kazi na uliyekalia umbeya tu. Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ni Mbunge tangia 2010. Amepokea viinua mgongo takribani mara tatu. Amekuwa ni waziri mwandamizi nyakati zote . Je unafikiri anaweza kushindwa kuwa na hela hiyo?Pesa hizo zinatoka kwenye fungu Gani la bajeti ya pm huyu mla rushwa? Mwenye ukwasi mkubwa kama mfanya biashara?
Kwenye Mfuko wake unaotokana na jasho lake na kazi za mikono yake . Kwani wewe ndiye unaongoza na kusimamia Maisha yake mpaka ujue anakotoa ewe livivu la kufikiri nakutumia Akili?Anatoa kutoka kwenye FUNGU lipi ???? Kwa malengo Gani????
Wote MATAPELI tu.Wakuu Salaam? Jana jumapili asubuhi mheshimu waziri mkuu komredi Mwigulu Nchemba, aliabudu katika kanisa la TAG kiomboi linaloongozwa na mchungaji Yona Suleiman. Baada ya mahubiri alipewa nafasi ya kuhutubia ambapo pamoja na kupiga siasa zake,alizungumzia ujenzi wa kanisa jipya linalojengwa hapo.
Kilichoshangaza wengi ni pale alipoahidi kuchangia sh million 15 kwenye ujenzi wenye bajeti ya bilion 1.
Kwa cheo chake kuahidi vihela kiduchu namna hiyo ni aibu na fedheha kwa kanisa la Mungu.
Aibu hii inachagizwa na kiwango cha mapokezi aliyopewa. Wadau hii ni sawa kweli?
Anatoa kama muumini au pm?Kwenye Mfuko wake unaotokana na jasho lake na kazi za mikono yake . Kwani wewe ndiye unaongoza na kusimamia Maisha yake mpaka ujue anakotoa ewe livivu la kufikiri nakutumia Akili?
Swali la kijinga halipaswi kujibiwa na likijibiwa linapaswa kujibiwa kwa level hiyo hiyo uliyoulizaAnatoa kama muumini au pm?
Tuna haki ya kujua maana anajiita pm japo aliingia ofsini baada ya kuuwa watu. Watanganyika hawajasahau mauaji Yale ya kinyama
Nioneshe popote ambapo sokoine (kkt) alishawahi toa pesa kanisani?. Nioneshe ambapo Nyerere ( RC) alishawahi toa pesa kanisani?Ondoa
Ondoa wivu wako na mihasira yako hapa ewe mvivu mkubwa wa kufanya kazi na uliyekalia umbeya tu. Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ni Mbunge tangia 2010. Amepokea viinua mgongo takribani mara tatu. Amekuwa ni waziri mwandamizi nyakati zote . Je unafikiri anaweza kushindwa kuwa na hela hiyo?
Acha uvuvi na akili ya kimaskini hapa . Fanya kazi upate pesa na siyo kupiga domo tu
Hujui lolote kuhusu utawala Bora umebaki kuwa chawa unabweka tu.Swali la kijinga halipaswi kujibiwa na likijibiwa linapaswa kujibiwa kwa level hiyo hiyo uliyouliza