Waziri Mkuu Kuahidi Milion 15 Za Ujenzi Wa Kanisa La Tag Kiomboi, ni Aibu

Waziri Mkuu Kuahidi Milion 15 Za Ujenzi Wa Kanisa La Tag Kiomboi, ni Aibu

Should be gratefull, uskute hizo fedha anatoa kwenye budget binafsi na sio ya budget za serikali
 
Hujui lolote kuhusu utawala Bora umebaki kuwa chawa unabweka tu.
Kwa taarifa Yako tu ni kwamba huyo pm fake unayemuimba hapa ni mla rushwa aliyekubuhu humjui wewe
Huna akili wewe. Unaweza kuweka ushahidi wa hayo uropokayo? Unaweza kuthibitisha madai yako?

Kwa taarifa yako ewe mjaa laana na mikosi ni kuwa huwezi kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.

Kila Mtanzania mwenye akili Timamu anatambua uzalendo, uadilifu na usafi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Ndio Maana ya kuitwa Mr Clean na watanzania
 
Nioneshe popote ambapo sokoine (kkt) alishawahi toa pesa kanisani?. Nioneshe ambapo Nyerere ( RC) alishawahi toa pesa kanisani?
Hawa ndo walipaswa kuitwa mr.clean siyo hili jizi linalopewa rushwa kwenye masandarusi
Wewe ndiye jizi. Kama una hasira sana kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni.

Kwa Taarifa yako ni Kuwa Jiandae kushuhudia Uapisho wa Mr Clean kuwa Rais wa Taifa hili siku zijazo baada ya Mama yetu Mpendwa kumaliza uongozi wake
 
Huna akili wewe. Unaweza kuweka ushahidi wa hayo uropokayo? Unaweza kuthibitisha madai yako?

Kwa taarifa yako ewe mjaa laana na mikosi ni kuwa huwezi kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.

Kila Mtanzania mwenye akili Timamu anatambua uzalendo, uadilifu na usafi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Ndio Maana ya kuitwa Mr Clean na watanzania
Ushahidi wangu ni zile apartment kama Kijiji anazomiki pale kibaha.
Sijataja kampini ya masi ya Easter anayomiliki
Kwakuwa wewe mjinga na chawa utabisha tu
 
Acheni Unafiki wenu hapa Ninyi. Angeahidi Kutoa Million hata mia ama hamsini ama zaidi ya Mia moja mngeanza kupiga makelele yenu na kusema ni ufisadi na ni pesa za wizi mara mngeanza kusema anapiga kampeni kama Lowasa Makanisani.

Ninyi hamna jema wala zuri . Mmejaa chuki binafsi na wivu tu Mioyoni Mwenu.

Kwa taarifa yenu ni kuwa kamwe na katu hamtaweza kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean wala kumshusha. Huyo ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na katu hamtaweza kumyumbisha

Kila Mtanzania anafahamu uchapakazi wake , uzalendo wake, uadilifu wake na moyo wake wa huruma,upendo ,kujitoa na kujitolea .

Ametoa hizo pesa kama mwanzo tu na ataendelea kutoa zaidi na zaidi kwa kadri itakavyohitajika.Ni waziri mkuu wa Tanzania na siyo waziri mkuu wa kanisa lolote lile .kwa Sasa ni lazima ufahamu yeye ni Namba tatu kwa Taifa baada ya Mheshimiwa Rais na hivyo kama ni misaada anatoa kila apitako katika Nchi hii
Naona unatetea ugali wako kama kawaida yako😂
 
Wakuu Salaam? Jana jumapili asubuhi mheshimu waziri mkuu komredi Mwigulu Nchemba, aliabudu katika kanisa la TAG kiomboi linaloongozwa na mchungaji Yona Suleiman. Baada ya mahubiri alipewa nafasi ya kuhutubia ambapo pamoja na kupiga siasa zake,alizungumzia ujenzi wa kanisa jipya linalojengwa hapo.
Kilichoshangaza wengi ni pale alipoahidi kuchangia sh million 15 kwenye ujenzi wenye bajeti ya bilion 1.
Kwa cheo chake kuahidi vihela kiduchu namna hiyo ni aibu na fedheha kwa kanisa la Mungu.
Aibu hii inachagizwa na kiwango cha mapokezi aliyopewa. Wadau hii ni sawa kweli?
Mumeanza kupeana Rushwa makanisani?
 
Huna akili wewe. Unaweza kuweka ushahidi wa hayo uropokayo? Unaweza kuthibitisha madai yako?

Kwa taarifa yako ewe mjaa laana na mikosi ni kuwa huwezi kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.

Kila Mtanzania mwenye akili Timamu anatambua uzalendo, uadilifu na usafi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Ndio Maana ya kuitwa Mr Clean na watanzania
Mbona una mitusi aisee.
 
Yaani mnachangiwa 15m ya kanisa mnaona kidogo?
Makanisa yapo kwa Malaki Tanzania, na mengi tu yapo kwenye ujenzi na akipita huko anatakiwa atoe chochote. Ukweli hata hizo naona amewapendelea sana......
 
Upo kazini. Ilimradi tu boss aone post zako ht kama ni zilipendwa
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Back
Top Bottom