Waziri Mkuu Kuahidi Milion 15 Za Ujenzi Wa Kanisa La Tag Kiomboi, ni Aibu

Waziri Mkuu Kuahidi Milion 15 Za Ujenzi Wa Kanisa La Tag Kiomboi, ni Aibu

Weka picha yako na familia yako mkiwa mmeshika hilo bango punguani wewe
Sijadiliani na mashoga kama wewe
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Wakuu Salaam? Jana jumapili asubuhi mheshimu waziri mkuu komredi Mwigulu Nchemba, aliabudu katika kanisa la TAG kiomboi linaloongozwa na mchungaji Yona Suleiman. Baada ya mahubiri alipewa nafasi ya kuhutubia ambapo pamoja na kupiga siasa zake,alizungumzia ujenzi wa kanisa jipya linalojengwa hapo.
Kilichoshangaza wengi ni pale alipoahidi kuchangia sh million 15 kwenye ujenzi wenye bajeti ya bilion 1.
Kwa cheo chake kuahidi vihela kiduchu namna hiyo ni aibu na fedheha kwa kanisa la Mungu.
Aibu hii inachagizwa na kiwango cha mapokezi aliyopewa. Wadau hii ni sawa kweli?
Angeahidi nyingi pia mngemuita fisadi.
 
Back
Top Bottom