Waziri Mkuu Kuahidi Milion 15 Za Ujenzi Wa Kanisa La Tag Kiomboi, ni Aibu

Should be gratefull, uskute hizo fedha anatoa kwenye budget binafsi na sio ya budget za serikali
 
Hujui lolote kuhusu utawala Bora umebaki kuwa chawa unabweka tu.
Kwa taarifa Yako tu ni kwamba huyo pm fake unayemuimba hapa ni mla rushwa aliyekubuhu humjui wewe
Huna akili wewe. Unaweza kuweka ushahidi wa hayo uropokayo? Unaweza kuthibitisha madai yako?

Kwa taarifa yako ewe mjaa laana na mikosi ni kuwa huwezi kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu.

Kila Mtanzania mwenye akili Timamu anatambua uzalendo, uadilifu na usafi alionao Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Ndio Maana ya kuitwa Mr Clean na watanzania
 
Nioneshe popote ambapo sokoine (kkt) alishawahi toa pesa kanisani?. Nioneshe ambapo Nyerere ( RC) alishawahi toa pesa kanisani?
Hawa ndo walipaswa kuitwa mr.clean siyo hili jizi linalopewa rushwa kwenye masandarusi
Wewe ndiye jizi. Kama una hasira sana kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni.

Kwa Taarifa yako ni Kuwa Jiandae kushuhudia Uapisho wa Mr Clean kuwa Rais wa Taifa hili siku zijazo baada ya Mama yetu Mpendwa kumaliza uongozi wake
 
Ushahidi wangu ni zile apartment kama Kijiji anazomiki pale kibaha.
Sijataja kampini ya masi ya Easter anayomiliki
Kwakuwa wewe mjinga na chawa utabisha tu
 
Naona unatetea ugali wako kama kawaida yako😂
 
Mumeanza kupeana Rushwa makanisani?
 
Huyo mchungaji yona ndo babake na yule samwel yona mpiga gitaa wa John lissu wa zamani..?
 
Mbona una mitusi aisee.
 
Yaani mnachangiwa 15m ya kanisa mnaona kidogo?
Makanisa yapo kwa Malaki Tanzania, na mengi tu yapo kwenye ujenzi na akipita huko anatakiwa atoe chochote. Ukweli hata hizo naona amewapendelea sana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…